Loading...
title : MAHAFALI YA 15 YA CHUO CHA TAIFA CHA UTALII YAFANA LEO JIJINI DAR.
link : MAHAFALI YA 15 YA CHUO CHA TAIFA CHA UTALII YAFANA LEO JIJINI DAR.
MAHAFALI YA 15 YA CHUO CHA TAIFA CHA UTALII YAFANA LEO JIJINI DAR.
NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga amewataka wananchi kushirikiana na serikali katika kuvitangaza vivutio vya utalii ili kuongeza pato la taifa.
Amezungumza hayo leo wakati wa mahafali ya 15 ya Chuo cha Taifa cha Utalii yaliyofanyika kwa kuunganisha matawi ya chuo hicho nchini.
Hasunga amewatunikia wanafunzi 129 wakiweza kutunukiwa shahada na astashahada katika fani za upishi, usafi wa vyumba, uhudumu wa chakula na usafirishaji wa watalii.
Katika mahafali hayo, Niabu Waziri Hasunga amewataka wananchi smabamba na wadau mbalimbali wa utalii kushirikiana na serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii kuutangaza utalii kwani ni sekta mtambuka.
Kwa sasa seriikali mfumo wa kuwasajili wanafunzi wote walisomea masuala ya utalii ili kuweza kufahamu idadi yao ukamili na pia kuweza kuwafahamu wale ambao wapo katika sekta ya utalii wakiwa hawajapitia katika mafunzo yoyote.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga akifungua pamoja na kuzungumza na wahitimu na wageni waalikwa wakati mahafali ya kumi na tano(15) ya Chuo cha Taifa cha Utalii yaliyofanyika leo katika kampasi ya Bustanini jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Chuo cha Taifa cha Utalii, Bernadetha Ndunguru akizungumza kuhusu namna bodi inavyofanya kazi yake ili kufanikisha Chuo hicho kinafikia malengo waliyojiwekea wakati wa mahafali ya kumi na tano(15) ya Chuo cha Taifa cha Utalii yaliyofanyika leo katika kampasi ya Bustanini jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Utalii. Dkt. Shogo Muzola akizungumza kuhusu mafanikio na hali ya elimu katika chuo hicho wakati wa mahafali ya kumi na tano(15) ya Chuo cha Taifa cha Utalii yaliyofanyika leo katika kampasi ya Bustanini jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga akiwakabidhi baadhi ya wahitimu wa vyeti pamoja na zawadi kwa wahitimu waliofanya vizuri wakati wa masomo.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga akiwatunuku astashahada na Stashahada wahitimu wa Chuo cha Taifa cha Utalii yaliyofanyika leo katika kampasi ya Bustanini jijini Dar es Salaam.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala MAHAFALI YA 15 YA CHUO CHA TAIFA CHA UTALII YAFANA LEO JIJINI DAR.
yaani makala yote MAHAFALI YA 15 YA CHUO CHA TAIFA CHA UTALII YAFANA LEO JIJINI DAR. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAHAFALI YA 15 YA CHUO CHA TAIFA CHA UTALII YAFANA LEO JIJINI DAR. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/mahafali-ya-15-ya-chuo-cha-taifa-cha.html
0 Response to "MAHAFALI YA 15 YA CHUO CHA TAIFA CHA UTALII YAFANA LEO JIJINI DAR."
Post a Comment