Loading...
title : Rais wa Special Olympics Kanda ya Afrika Charles Nyambe kuzuru Tanzania
link : Rais wa Special Olympics Kanda ya Afrika Charles Nyambe kuzuru Tanzania
Rais wa Special Olympics Kanda ya Afrika Charles Nyambe kuzuru Tanzania
Kwa mujibu wa Charles Rays, Mkurugenzi Special Olympics Tanzania, akiwa Tanzania Bw. Nyambe atapata fursa ya kuendesha mafunzo ya uongozi wa michezo ya Special Olympics kwa makocha 50, ambao ni waratibu wa mikoa yote 30, pamoja na wengine 20 kutoka Dar es Salaam.
"Amependekeza pia kutumia masaa matatu kati ya siku nne atakazokuwa nasi hapa Tanzania kukutana na kuendesha mafunzo ya uongozi kwa wajumbe wote wa board ya Special Olympics Tanzania", amesema Bw. Rays.
Hivyo makala Rais wa Special Olympics Kanda ya Afrika Charles Nyambe kuzuru Tanzania
yaani makala yote Rais wa Special Olympics Kanda ya Afrika Charles Nyambe kuzuru Tanzania Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Special Olympics Kanda ya Afrika Charles Nyambe kuzuru Tanzania mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/rais-wa-special-olympics-kanda-ya.html
0 Response to "Rais wa Special Olympics Kanda ya Afrika Charles Nyambe kuzuru Tanzania"
Post a Comment