Loading...
title : RPC TANGA:AWATAKA BODABODA KUACHA KUTUMIKA KUBEBA WAHAMIAJI HARAMU NA DAWA ZA KULEVYA
link : RPC TANGA:AWATAKA BODABODA KUACHA KUTUMIKA KUBEBA WAHAMIAJI HARAMU NA DAWA ZA KULEVYA
RPC TANGA:AWATAKA BODABODA KUACHA KUTUMIKA KUBEBA WAHAMIAJI HARAMU NA DAWA ZA KULEVYA
Kamanda wa Polisi Mkoani Tanga,Benedict Wakulyamba akizungumza na waendesha pikipiki maarufu kama bodaboda wilaya Muheza wakati wa ufunguzi wa mpango wa kutoa elimu waendesha bodaboda mkoani hapa ambao ulihudhurwa na wadau mbalimbali ikiwemo madereva wa bodaboda kulia ni Kamanda wa kikosi cha Usalama barabarani Mkoani Tanga (RTO) Nassoro Sisiwayah kushoto ni Kaimu Mkuu wa Polisi wilaya ya Muheza (OCD) ambapo aliwataka madereva wa bodaboda kuacha kutumika kuwabeba wahamiaji haramu na dawa za kulevya kwani watakaokamatwa hawatapona
Kamanda wa kikosi cha Usalama barabarani Mkoani Tanga (RTO) Nassoro Sisiwayah akizungumza katika kikao hicho kushoto ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga,Benedict Wakulyamba na kulia ni Katibu wa Bodaboda wilayani Muheza,Fransic Gerald
Kaimu Mkuu wa Polisi wilaya ya Muheza,(OCD) akizungumza katika kikao hicho kulia ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga,Benedict Wakulyamba kushoto ni Mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji wa APEC Bahati Alex
Mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji wa APEC Bahati Alex akizungumza katika kikao hicho wa pili kulia ni Kamanda wa Polisi Mkoani Tanga,Benedict Wakulyamba kushoto mwenye miwani ni Kaimu Meneja wa Mfuko wa Mafao ya Wastaafu (GEPF) Erick Haule.
Hivyo makala RPC TANGA:AWATAKA BODABODA KUACHA KUTUMIKA KUBEBA WAHAMIAJI HARAMU NA DAWA ZA KULEVYA
yaani makala yote RPC TANGA:AWATAKA BODABODA KUACHA KUTUMIKA KUBEBA WAHAMIAJI HARAMU NA DAWA ZA KULEVYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RPC TANGA:AWATAKA BODABODA KUACHA KUTUMIKA KUBEBA WAHAMIAJI HARAMU NA DAWA ZA KULEVYA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/rpc-tangaawataka-bodaboda-kuacha.html
0 Response to "RPC TANGA:AWATAKA BODABODA KUACHA KUTUMIKA KUBEBA WAHAMIAJI HARAMU NA DAWA ZA KULEVYA"
Post a Comment