Loading...
title : MKUTANO WA WAKUU WA MAGEREZA /TAASISI ZA UREKEBISHAJI ZA NCHI ZA SADC WAFANYIKA JIJINI DAR
link : MKUTANO WA WAKUU WA MAGEREZA /TAASISI ZA UREKEBISHAJI ZA NCHI ZA SADC WAFANYIKA JIJINI DAR
MKUTANO WA WAKUU WA MAGEREZA /TAASISI ZA UREKEBISHAJI ZA NCHI ZA SADC WAFANYIKA JIJINI DAR
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mhandisi Hamad Masauni(wa pili toka kulia) akiwaongoza kuimba wimbo wa Taifa la Tanzania Wakuu wa Magereza/Taasisi za Urekebishaji za Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika – SADC – Corrections/Prisons Sub Committee(hawapo pichani). Wa pili kulia ni Kamishna Jenerali wa Magereza nchini Dkt. Juma Malewa, (wa kwanza kutoka kushoto) ni Mjumbe wa Sekretarieti ya SADC, Bw. Maemo Machete. Mkutano huo unafanyika kwa siku moja leo Juni 11, 2017 katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam.
Kamishna Jenerali wa Magereza nchini Dkt. Juma Malewa ambaye ni Mwenyekiti wa Mkutano huo wa Wakuu wa Magereza/Taasisi za Urekebishaji za Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika – SADC – Corrections/Prisons Sub Committee akitoa maelezo mafupi kabla ya kumkaribisha mgeni kufungua rasmi mkutano huo wa siku moja.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mhandisi Hamad Masauni akitoa hotuba ya ufunguzi rasmi wa Mkutano wa Wakuu wa Magereza/Taasisi za Urekebishaji za Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika – SADC – Corrections/Prisons Sub Committee uliofanyika leo Juni 11, 2017 katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano huo toka nchi za SADC wakifuatilia hotuba ya Mgeni rasmi(wa kwanza kulia) ni Kamishna wa Utawala na Fedha wa Jeshi la Magereza Gaston Sanga.
Mwenyekiti wa Mkutano wa Wakuu wa Magereza/Taasisi za Urekebishaji za Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika – SADC – Corrections/Prisons Sub Committee ambaye ni Kamishna Jenerali wa Magereza nchini Dkt. Juma Malewa akiongoza Kikao hicho kama inavyoonekana katika picha.
Hivyo makala MKUTANO WA WAKUU WA MAGEREZA /TAASISI ZA UREKEBISHAJI ZA NCHI ZA SADC WAFANYIKA JIJINI DAR
yaani makala yote MKUTANO WA WAKUU WA MAGEREZA /TAASISI ZA UREKEBISHAJI ZA NCHI ZA SADC WAFANYIKA JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKUTANO WA WAKUU WA MAGEREZA /TAASISI ZA UREKEBISHAJI ZA NCHI ZA SADC WAFANYIKA JIJINI DAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/mkutano-wa-wakuu-wa-magereza-taasisi-za.html
0 Response to "MKUTANO WA WAKUU WA MAGEREZA /TAASISI ZA UREKEBISHAJI ZA NCHI ZA SADC WAFANYIKA JIJINI DAR"
Post a Comment