Loading...

SAFARI YA MWISHO YA BALOZI ABDULCISCO OMAR MTIRO

Loading...
SAFARI YA MWISHO YA BALOZI ABDULCISCO OMAR MTIRO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SAFARI YA MWISHO YA BALOZI ABDULCISCO OMAR MTIRO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SAFARI YA MWISHO YA BALOZI ABDULCISCO OMAR MTIRO
link : SAFARI YA MWISHO YA BALOZI ABDULCISCO OMAR MTIRO

soma pia


SAFARI YA MWISHO YA BALOZI ABDULCISCO OMAR MTIRO

Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Balozi Abdulcisco Omar Mtiro almarufu kama CISCO likiwa nyumbani kwake Mikocheki B, Jijini Dar es salaam tayari kwa ibada ya kuuaga mwili kabla ya kwenda kuuhifadhi kwenye Nyumba yake ya Milele, katika Makaburi ya Kisutu Jijini Dar mchana huu.

Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir akizungumza machache kabla ya kuuswalia Mwili wa Marehemu Balozi Abdulcisco Omar Mtiro almarufu kama CISCO nyumbani kwake Mikocheki B, Jijini Dar es salaam.

Rais Mstaafu, Alhaj Ally Hassan Mwinyi akijumuika na viongizi wastaafu wa Serikali katika Msiba wa Marehemu Balozi Abdulcisco Omar Mtiro almarufu kama CISCO nyumbani kwake Mikocheki B, Jijini Dar es salaam.


Kisomo cha kumuombea Marehemu Balozi Abdulcisco Omar Mtiro almarufu kama CISCO kikiendelea nyumbani kwake Mikocheki B, Jijini Dar es salaam.




Hivyo makala SAFARI YA MWISHO YA BALOZI ABDULCISCO OMAR MTIRO

yaani makala yote SAFARI YA MWISHO YA BALOZI ABDULCISCO OMAR MTIRO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SAFARI YA MWISHO YA BALOZI ABDULCISCO OMAR MTIRO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/safari-ya-mwisho-ya-balozi-abdulcisco.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SAFARI YA MWISHO YA BALOZI ABDULCISCO OMAR MTIRO"

Post a Comment

Loading...