Loading...
title : Sheikh Shariff Kusoma Dua maalum Dar es salam jumamosi ijayo
link : Sheikh Shariff Kusoma Dua maalum Dar es salam jumamosi ijayo
Sheikh Shariff Kusoma Dua maalum Dar es salam jumamosi ijayo
Sheikh Shariff Majini siku ya Jumamosi tarehe 24-06-2017 sawa na Ramadhani 29 ataendesha Dua nzito kwa ajili ya kuuaga mwezi Mtukufu wa Ramadhani katika ukumbi wa Star Light Mnazi Mmoja Jijini Dar es salaam.
Dua hiyo ni maalum hasa kwa kina mama na itaafanyika kuanzia asubuhi saa mbili mpaka saa sita mchana ili kutoa fursa kwa wataohudhuria kuwahi kuandaa futari.
Mara baada ya kumalizika kwa Dua, Sheikh ataenda Jijini Arusha kwa mwaliko maalum wa Baraza la Eid siku ya Eid Pili. Baraza la Eid litafanyika katika viwanja vilivyopo jirani na soko la Kilombero na Stand ya Hiace Jijini Arusha.
Sheikh atarejea Dar es salaam mara tu baada ya kumalizika kwa Baraza la Eid.
Hivyo makala Sheikh Shariff Kusoma Dua maalum Dar es salam jumamosi ijayo
yaani makala yote Sheikh Shariff Kusoma Dua maalum Dar es salam jumamosi ijayo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Sheikh Shariff Kusoma Dua maalum Dar es salam jumamosi ijayo mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/sheikh-shariff-kusoma-dua-maalum-dar-es.html
0 Response to "Sheikh Shariff Kusoma Dua maalum Dar es salam jumamosi ijayo"
Post a Comment