Loading...
title : Libeneke pekee la ufugaji nchini laja na app mpya
link : Libeneke pekee la ufugaji nchini laja na app mpya
Libeneke pekee la ufugaji nchini laja na app mpya
Daktari wa Mifugo na mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine, Dkt. Augustino Chengula, amekuja na app yake ya UFUGAJI inayopatikana google play store. App hii ni ya tovuti ya ufugaji wa mifugo ya aina mbalimbali pamoja upampanaji wa magonjwa. Tovuti yake ni ufugaji.co.tz. Hii ni tovuti pekee nchini iliyoshheeni elimu muhimu sana ya ufugaji.
Link ya App play store ni hii hapa
Hivyo makala Libeneke pekee la ufugaji nchini laja na app mpya
yaani makala yote Libeneke pekee la ufugaji nchini laja na app mpya Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Libeneke pekee la ufugaji nchini laja na app mpya mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/libeneke-pekee-la-ufugaji-nchini-laja.html
0 Response to "Libeneke pekee la ufugaji nchini laja na app mpya"
Post a Comment