Loading...
title : TAARIFA YA MSIBA
link : TAARIFA YA MSIBA
TAARIFA YA MSIBA
Familia ya Eng Deo Renati Masoy wa Shirika la Nyumbu Kibaha anasikitika kutangaza kifo cha Baba yao Mzazi Mzee Renati John Masoi .ambaye amefariki 19/Juni/2017 katika Hospitali ya Hindu Mandal
Mipango ya Mazishi inafanyika nyumbani kwa Mtoto wa Marehemu Eng Deo Masoy Kibaha kwa Mathias njia ya kwenda Nyumbu ,Habari ziwafikie Ukoo wote wa Masoy ,Ukoo wote wa Kombe Ndugu wa Marehemu Watoto wa marehemu Wajukuu waliopo ndani ya Nchi na Nnje ya Nchi , wwafanyakazi wa Shirika la Nyumbu Pamoja na majirani wote.
BWANA AMETOA BWANA AMETWA JINA LAKE LIHIMIDIWE
Hivyo makala TAARIFA YA MSIBA
yaani makala yote TAARIFA YA MSIBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TAARIFA YA MSIBA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/taarifa-ya-msiba_20.html
0 Response to "TAARIFA YA MSIBA"
Post a Comment