Loading...

TUMESHAKABIDHI RIPOTI KWA UONGOZI, TUNASUBIRI MAJIBU TUANZE KAMBI - KOCHA MTIBWA

Loading...
TUMESHAKABIDHI RIPOTI KWA UONGOZI, TUNASUBIRI MAJIBU TUANZE KAMBI - KOCHA MTIBWA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TUMESHAKABIDHI RIPOTI KWA UONGOZI, TUNASUBIRI MAJIBU TUANZE KAMBI - KOCHA MTIBWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TUMESHAKABIDHI RIPOTI KWA UONGOZI, TUNASUBIRI MAJIBU TUANZE KAMBI - KOCHA MTIBWA
link : TUMESHAKABIDHI RIPOTI KWA UONGOZI, TUNASUBIRI MAJIBU TUANZE KAMBI - KOCHA MTIBWA

soma pia


TUMESHAKABIDHI RIPOTI KWA UONGOZI, TUNASUBIRI MAJIBU TUANZE KAMBI - KOCHA MTIBWA

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.

KOCHA msaidizi wa timu ya Mtibwa Zuberi Katwila amesema kuwa kwa sasa anasubiri maamuzi ya Mwenyekiti wa klabu hiyo baada ya kumkabidhi ripoti ya mwaka mzima ya kikosi hicho.

Akizugumza na Mtandao huu, Katwila amesema kuwa ameshakabidhi ripoti kwa Uongozi wa klabu hiyo  na wanatarajiwa kuanza maezoezi Julai mosi mwaka huu kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa 2017/18.

Katwila amesema, hawezi kuweka wazi ni wachezaji gani watakaoachwa ila ripoti nzima imeweka wazi wachezaji wanaohitajika kuachwa na sababu zao kwani kila mmoja amewekewa muda aliocheza na alicheza katika kiwango cha juu au chini.

"kila mchezaji ameainishwa katika ripoti katika vipengele tofauti kama aliweza kucheza kwa muda gani na kwa kiwango gani, mbali na hilo wapo ambao wameshindwa kuonyesha kiwango kikubwa na pia nao nimewaandikia sababu za kuachwa,"alisema Katwila.

Amesema, ukiachilia hilo pia katika ripoti yake ameweka wazi wachezaji anaowahitaji ila cha zaidi anasubiri majibu ya uongozi kuhusiana na wachezaji hao na iwapo watashindikana kupatikana hatua ya itakayofuata ni kuita wachezaji katika kufanya majaribio katika timu yao.

Katwila amesema mpaka sasa hawajajua ni wapi wataweka kambi hiyo ya maandalizi ya ligi hadi pale watakapopata maelekezo kutoka kwa Uongozi kama watakaa Manungu au nje ya mkoa wa Morogoro.


Kikosi cha Mtibwa.


Hivyo makala TUMESHAKABIDHI RIPOTI KWA UONGOZI, TUNASUBIRI MAJIBU TUANZE KAMBI - KOCHA MTIBWA

yaani makala yote TUMESHAKABIDHI RIPOTI KWA UONGOZI, TUNASUBIRI MAJIBU TUANZE KAMBI - KOCHA MTIBWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TUMESHAKABIDHI RIPOTI KWA UONGOZI, TUNASUBIRI MAJIBU TUANZE KAMBI - KOCHA MTIBWA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/tumeshakabidhi-ripoti-kwa-uongozi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TUMESHAKABIDHI RIPOTI KWA UONGOZI, TUNASUBIRI MAJIBU TUANZE KAMBI - KOCHA MTIBWA"

Post a Comment

Loading...