Loading...

TAIFA STARS SASA YAJIANDAA NA COSAFA, MAYANGA KUFANYA MABADILIKO

Loading...
TAIFA STARS SASA YAJIANDAA NA COSAFA, MAYANGA KUFANYA MABADILIKO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TAIFA STARS SASA YAJIANDAA NA COSAFA, MAYANGA KUFANYA MABADILIKO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TAIFA STARS SASA YAJIANDAA NA COSAFA, MAYANGA KUFANYA MABADILIKO
link : TAIFA STARS SASA YAJIANDAA NA COSAFA, MAYANGA KUFANYA MABADILIKO

soma pia


TAIFA STARS SASA YAJIANDAA NA COSAFA, MAYANGA KUFANYA MABADILIKO



Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.

Timu ya Mpira wa Miguu ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inayodhaminiwa na Bia ya Serengeti, itaingia kambini tena Juni 14, mwaka huu kujiandaa na michuano inayoratibiwa na Baraza la Soka la Kusini mwa Afrika (COSAFA).

Michuano hiyo inatarajiwa kuanza Juni 25, mwaka huu ambako Taifa Stars itakwenda Misri, Juni 20, mwaka huu.

Kocha wa Taifa Stars, Salum Mayanga amepanga kufanya mabadiliko madogo ya kikosi cha Taifa Stars kitakaochokwenda kushiriki michuano hiyo.

Kocha Mayanga amesema kesho atafanya uteuzi wa wachezaji wengine atakaowajumuisha kwenye kikosi chake, atafanya mabadiliko kidogo hivyo kesho atatangaza majina ya wachezaji ambao wataingia kambini kujiandaa na michuano hii ya Cosafa inayoanza Juni 25 huko Afrika Kusini.

Wakati huo huo, awamu ya pili ya kozi ya Daraja A inayoendeshwa na Shirikisho la soka Afrika (CAF) imeanza leo kwenye ukumbi wa Shirikisho la soka Tanzania (TFF).

Kozi hiyo inahusisha makocha 20 ambao walishiriki kwenye kozi hiyo ya awamu ya kwanza iliyofanyika jijini Dar es Salaam Novemba, mwaka jana.

Mkufunzi wa kozi hiyo ni Mtanzania Sunday Kayuni ambaye pia atakuwa na wataalam wa masuala ya Lishe, Masoko, Tiba, Habari, Bima pamoja na mtaalam wa masuala ya upingaji wa matumizi ya utumiaji wa dawa ả kuongeza nguvu michezoni.
a


Kocha wa Stars Salum Mayanga akiwa na Nahodha wa timu ya Taifa Mbwana Samatta.


Hivyo makala TAIFA STARS SASA YAJIANDAA NA COSAFA, MAYANGA KUFANYA MABADILIKO

yaani makala yote TAIFA STARS SASA YAJIANDAA NA COSAFA, MAYANGA KUFANYA MABADILIKO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TAIFA STARS SASA YAJIANDAA NA COSAFA, MAYANGA KUFANYA MABADILIKO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/taifa-stars-sasa-yajiandaa-na-cosafa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TAIFA STARS SASA YAJIANDAA NA COSAFA, MAYANGA KUFANYA MABADILIKO"

Post a Comment

Loading...