Loading...

Trafiki Wawili Wauawa Kibiti....Gari Lao na Pikipiki Vyachomwa Moto

Loading...
Trafiki Wawili Wauawa Kibiti....Gari Lao na Pikipiki Vyachomwa Moto - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Trafiki Wawili Wauawa Kibiti....Gari Lao na Pikipiki Vyachomwa Moto, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Trafiki Wawili Wauawa Kibiti....Gari Lao na Pikipiki Vyachomwa Moto
link : Trafiki Wawili Wauawa Kibiti....Gari Lao na Pikipiki Vyachomwa Moto

soma pia


Trafiki Wawili Wauawa Kibiti....Gari Lao na Pikipiki Vyachomwa Moto

Askari Polisi wawili wa kikosi cha usalama wa barabarani wilayani Kibiti ambao majina yao bado hayajatambulika wamepigwa risasi na watu wasiojulikana katika Kijiji cha Msafiri,Kata ya Bungu wakiwa kazini.

Mbali na kupigwa risasi, pia watu hao wamechoma moto gari moja na pikipiki moja za askari hao kisha kutokomea kusikojulikana.

Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Onesmo Lyanga amethibitisha kutokea kwa tukio na kusema anafuatilia.

Tukio hilo limetokea kilomita chache kutoka eneo ambalo waliuawa askari polisi wanane kwa kupigwa risasi katika eneo la Mkengeni walipokuwa wakitoka doria katika Kijiji cha Jaribu.


Hivyo makala Trafiki Wawili Wauawa Kibiti....Gari Lao na Pikipiki Vyachomwa Moto

yaani makala yote Trafiki Wawili Wauawa Kibiti....Gari Lao na Pikipiki Vyachomwa Moto Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Trafiki Wawili Wauawa Kibiti....Gari Lao na Pikipiki Vyachomwa Moto mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/trafiki-wawili-wauawa-kibitigari-lao-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Trafiki Wawili Wauawa Kibiti....Gari Lao na Pikipiki Vyachomwa Moto"

Post a Comment

Loading...