Loading...
title : Picha: Rais Magufuli alivyozindua Kiwanda cha TAMCO kinachounganisha Matrekta
link : Picha: Rais Magufuli alivyozindua Kiwanda cha TAMCO kinachounganisha Matrekta
Picha: Rais Magufuli alivyozindua Kiwanda cha TAMCO kinachounganisha Matrekta
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amezindua kiwanda cha kuunganisha matrekta cha Ursus na kiwanda cha Nondo cha Kiluwa ambapo amewataka wawekezaji kujitokeza kwa wingi kwani Serikali iko nao bega kwa bega.
"Kiwanda ni kikubwa na kinatoa nondo ambazo zinaweza kujenga daraja lolote Tanzania au Ulaya.Tanzania tuna chuma, kwa nini tuagize chuma kutoka Brazil au China.
"Wawekezaji watafute njia ya kutumia chuma cha Tanzania badala ya kuagiza nje ya nchi na nashauri Ajira zianze kwanza kwa vijana wa Mkoa wa Pwani'', amesema Rais Dkt. Magufuli na kuongeza kuwa serikali inampango wa kujenga barabara kubwa ya lami ya njia sita kutoka Dar mpaka Chalinze ambapo amewataka watanzania kuvilinda viwanda na amani ya Tanzania
Hivyo makala Picha: Rais Magufuli alivyozindua Kiwanda cha TAMCO kinachounganisha Matrekta
yaani makala yote Picha: Rais Magufuli alivyozindua Kiwanda cha TAMCO kinachounganisha Matrekta Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Picha: Rais Magufuli alivyozindua Kiwanda cha TAMCO kinachounganisha Matrekta mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/picha-rais-magufuli-alivyozindua.html
0 Response to "Picha: Rais Magufuli alivyozindua Kiwanda cha TAMCO kinachounganisha Matrekta"
Post a Comment