Loading...

UCHAGUZI TFF: MICHAEL WAMBURA ACHUKUA FOMU YA KUWANIA NAFASI YA MAKAMU WA RAIS

Loading...
UCHAGUZI TFF: MICHAEL WAMBURA ACHUKUA FOMU YA KUWANIA NAFASI YA MAKAMU WA RAIS - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UCHAGUZI TFF: MICHAEL WAMBURA ACHUKUA FOMU YA KUWANIA NAFASI YA MAKAMU WA RAIS, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UCHAGUZI TFF: MICHAEL WAMBURA ACHUKUA FOMU YA KUWANIA NAFASI YA MAKAMU WA RAIS
link : UCHAGUZI TFF: MICHAEL WAMBURA ACHUKUA FOMU YA KUWANIA NAFASI YA MAKAMU WA RAIS

soma pia


UCHAGUZI TFF: MICHAEL WAMBURA ACHUKUA FOMU YA KUWANIA NAFASI YA MAKAMU WA RAIS

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii. 

Mwenyekiti wa Cha Soka Mkoa wa Mara (FAM) Michael Wambura amechukua fomu ya kugombea nafasi ya makamu wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF). 

Wambura anakuwa kiongozi wa kwanza kuchukua fomu kugombea nafasi ya makamu wa rais wa TFF . Michael Wambura aliwahi kuteuliwa katika kamati ya utendaji ya Simba na aliyekuwa Rais wa klabu hiyo Ismail Aden Rage.

Wambura amewahi kuwa katibu mkuu wa Simba na ndiye alikuwa mtu wa kwanza kumshinda Rage katika nafasi ya ukatibu mkuu wa Chama cha Soka Tanzania (FAT)
Mwenyekiti wa Cha Soka Mkoa wa Mara (FAM) Michael Wambura akionesha fomu ya kugombea nafasi ya makamu wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF)



Hivyo makala UCHAGUZI TFF: MICHAEL WAMBURA ACHUKUA FOMU YA KUWANIA NAFASI YA MAKAMU WA RAIS

yaani makala yote UCHAGUZI TFF: MICHAEL WAMBURA ACHUKUA FOMU YA KUWANIA NAFASI YA MAKAMU WA RAIS Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UCHAGUZI TFF: MICHAEL WAMBURA ACHUKUA FOMU YA KUWANIA NAFASI YA MAKAMU WA RAIS mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/uchaguzi-tff-michael-wambura-achukua.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UCHAGUZI TFF: MICHAEL WAMBURA ACHUKUA FOMU YA KUWANIA NAFASI YA MAKAMU WA RAIS"

Post a Comment

Loading...