Loading...
title : Uchumi : Kongamano la Pili la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Lafanyika ,Dodoma
link : Uchumi : Kongamano la Pili la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Lafanyika ,Dodoma
Uchumi : Kongamano la Pili la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Lafanyika ,Dodoma
Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali (TSN), Dkt. Jim Yonazi akijibu hoja mbalimbali ambazo ziliibuliwa katika kongamano la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi lililofanyika leo mjini Dodoma . TSNwalikuwa mmoja wa wadhamini. Dk Yonazi alisema kuwa ili kuwaezesha wananchi kiuchumi ni lazima jamii ihabarishwe juu ya fursa mbalimbali zilizopo, lakini pia muhimu wa sekta binafsi kuwa na ubunifu na mifumo ya kujitengenezea utajiri.Picha zote na Mroki Mroki-dailynewstzonline.blog
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akitoa mada juu ya Uwezeshaji wananchi kiuchumi ambapo alisema ni vyema viongozi na jamii ikawana na utaratibu wa kuchapa kazi ili iweze kufanikiwa katika suala la uwezeshaji wananchi kiuchumi.
Wakuu wa Mikoa waliohudhuria Kongamano hilo.
Wadau wa Kongamano hilo kutoka Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) nao walikuwepo. TSN ilikuwa moja ya wadhamini.
washiriki wa Kongamano
Hivyo makala Uchumi : Kongamano la Pili la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Lafanyika ,Dodoma
yaani makala yote Uchumi : Kongamano la Pili la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Lafanyika ,Dodoma Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Uchumi : Kongamano la Pili la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Lafanyika ,Dodoma mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/uchumi-kongamano-la-pili-la-uwezeshaji.html
0 Response to "Uchumi : Kongamano la Pili la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Lafanyika ,Dodoma"
Post a Comment