Loading...

Unguja Noma Michezo ua Umiseta Mwanza. Kila Siku Hutowa Dozi Leo Wamchapa Mtu 5 - 0.

Loading...
Unguja Noma Michezo ua Umiseta Mwanza. Kila Siku Hutowa Dozi Leo Wamchapa Mtu 5 - 0. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Unguja Noma Michezo ua Umiseta Mwanza. Kila Siku Hutowa Dozi Leo Wamchapa Mtu 5 - 0., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Unguja Noma Michezo ua Umiseta Mwanza. Kila Siku Hutowa Dozi Leo Wamchapa Mtu 5 - 0.
link : Unguja Noma Michezo ua Umiseta Mwanza. Kila Siku Hutowa Dozi Leo Wamchapa Mtu 5 - 0.

soma pia


Unguja Noma Michezo ua Umiseta Mwanza. Kila Siku Hutowa Dozi Leo Wamchapa Mtu 5 - 0.

Na Abubakar Kisandu Mwanza.
Wakicheza mchezo wa tatu Timu ya soka ya Unguja imeendelea kuwapa raha wana Mwanza kufuatia ushindi wake wa tatu mfululizo baada ya asubuhi ya leo kuwapiga timu ya Mara mabao 5-0 kwenye Mashindano ya Michezo na Sanaa ya Skuli za Sekondari Tanzania (UMISSETA) katika uwanja wa Chuo cha Ualimu Butimba mkoani Mwanza.
 Mabao ya Unguja yamefungwa na Ali Hassan “Ndimbo” (2), Walid Abdi “Pato”, Faki Kombo na Mundhir Abdallah “Diarra”.
 Kwa matokeo hayo Unguja ndio kinara akiwa na alama 9 wapo kundi “C” lenye jumla ya timu 7 ambapo wapo pamoja na Katavi, Kagera, Mara, Mbeya, Iringa na Dar es salam.
Mchezo mwengine Unguja watacheza kesho Jumapili June 11, 2017 saa 12:30 za asubuhi dhidi ya Mbeya, kisha Jumatatu June 12, 2017 Unguja dhidi ya Iringa, Jumanne June 13, 2017 Unguja watamalizana na Dar es salam.
Michezo mitatu ya awali Unguja waliifunga Katavi 4-0, wakaichapa Kagera 3-0 na leo wakaipiga Mara 5-0, hivyo wameshafunga jumla ya mabao 12 katika michezo 3 wakati lango lao bado halijaonjwa hata bao moja.


Hivyo makala Unguja Noma Michezo ua Umiseta Mwanza. Kila Siku Hutowa Dozi Leo Wamchapa Mtu 5 - 0.

yaani makala yote Unguja Noma Michezo ua Umiseta Mwanza. Kila Siku Hutowa Dozi Leo Wamchapa Mtu 5 - 0. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Unguja Noma Michezo ua Umiseta Mwanza. Kila Siku Hutowa Dozi Leo Wamchapa Mtu 5 - 0. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/unguja-noma-michezo-ua-umiseta-mwanza.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Unguja Noma Michezo ua Umiseta Mwanza. Kila Siku Hutowa Dozi Leo Wamchapa Mtu 5 - 0."

Post a Comment

Loading...