Loading...
title : UZINDUZI WA iSwapMyBookS.COM WASAIDIA KUHAMASISHA USOMAJI WA VITABU NCHINI TANZANIA
link : UZINDUZI WA iSwapMyBookS.COM WASAIDIA KUHAMASISHA USOMAJI WA VITABU NCHINI TANZANIA
UZINDUZI WA iSwapMyBookS.COM WASAIDIA KUHAMASISHA USOMAJI WA VITABU NCHINI TANZANIA
Mkurungezi Mtendaji na Muanzilishi wa IswapMyBooks.Com Shafiq Mpanja akifafanua jambo kwa wageni waalikwa wakati wa uzinduzi wa Mtandao huo unaowezesha wasomaji wa vitabu kubadilishana vitabu mara tu wanapomaliza kuvisoma kwa njia ya mtandao huo.Hafla ya uzinduzi huo zilifanyika mapema jana katika makao makuu ya SOMA BOOK Cafe iliyopo Mikocheni jijini Dar Es Salaam. |
Meneja Uendeshaji wa IswapMyBooks.com Viola Massawe akifafanua taratibu za matumizi ya mtandao huo , wakati wa uzinduzi wa Mtandao huo unaowezesha wasomaji wa vitabu kubadilishana vitabu mara tu wanapomaliza kuvisoma kwa njia ya mtandao huo.Hafla ya uzinduzi huo zilifanyika mapema jana katika makao makuu ya SOMA BOOK Cafe iliyopo Mikocheni jijini Dar Es Salaam. |
Mkurungezi Mtendaji wa Koncept Krantz Mwantepele (mwenye koti la suti) na wadau wa usomaji wakifuatilia kwa makini uzinduzi wa mtandao wa IswapMyBooks.com , Mtandao huo unaowezesha wasomaji wa vitabu kubadilishana vitabu mara tu wanapomaliza kuvisoma kwa njia ya mtandao huo.Hafla ya uzinduzi huo zilifanyika mapema jana katika makao makuu ya SOMA BOOK Cafe iliyopo Mikocheni jijini Dar es Salaam. Kwa habari zaidi BOFYA HAPA |
Hivyo makala UZINDUZI WA iSwapMyBookS.COM WASAIDIA KUHAMASISHA USOMAJI WA VITABU NCHINI TANZANIA
yaani makala yote UZINDUZI WA iSwapMyBookS.COM WASAIDIA KUHAMASISHA USOMAJI WA VITABU NCHINI TANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UZINDUZI WA iSwapMyBookS.COM WASAIDIA KUHAMASISHA USOMAJI WA VITABU NCHINI TANZANIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/uzinduzi-wa-iswapmybookscom-wasaidia.html
0 Response to "UZINDUZI WA iSwapMyBookS.COM WASAIDIA KUHAMASISHA USOMAJI WA VITABU NCHINI TANZANIA"
Post a Comment