Loading...
title : Wajumbe wa Baraza Wapata Semina ya Rasimu ya Sheria.
link : Wajumbe wa Baraza Wapata Semina ya Rasimu ya Sheria.
Wajumbe wa Baraza Wapata Semina ya Rasimu ya Sheria.
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar. Mhe.Zuberi Ali Maulid afungua Semina ya Uwasilishaji wa Rasimu ya Sheria ya Uhuru wa Bidhaa, Rasimu ya Sheria ya Ushuru wa Stempu na Utoaji wa Risiti kwa kutumia Mfumo wa Kielektroniki (EFDS).kwa wajumbe wa Baraza inayofanyika katika ukumbi mdogo wa Baraza Chukwani Zanzibar.Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Dk.Khalid Salum akizungumza wakati wa semina hiyo kwa wajumbe wa Baraza Chukwani Zanzibar.
Hivyo makala Wajumbe wa Baraza Wapata Semina ya Rasimu ya Sheria.
yaani makala yote Wajumbe wa Baraza Wapata Semina ya Rasimu ya Sheria. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Wajumbe wa Baraza Wapata Semina ya Rasimu ya Sheria. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/wajumbe-wa-baraza-wapata-semina-ya.html
0 Response to "Wajumbe wa Baraza Wapata Semina ya Rasimu ya Sheria."
Post a Comment