Loading...

WAZIRI PROF KABUDI AKUTANA NA MWAKILISHI MKAZI WA UNICEF NCHINI

Loading...
WAZIRI PROF KABUDI AKUTANA NA MWAKILISHI MKAZI WA UNICEF NCHINI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI PROF KABUDI AKUTANA NA MWAKILISHI MKAZI WA UNICEF NCHINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI PROF KABUDI AKUTANA NA MWAKILISHI MKAZI WA UNICEF NCHINI
link : WAZIRI PROF KABUDI AKUTANA NA MWAKILISHI MKAZI WA UNICEF NCHINI

soma pia


WAZIRI PROF KABUDI AKUTANA NA MWAKILISHI MKAZI WA UNICEF NCHINI

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi amemkutana na Mwakilishi mkazi WA Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Watoto duniani-UNICEF bibi Maniza Zaman ofisini kwake mjini Dodoma. 

Katika kikao hicho viongozi hao mbali na kufahamiana pia wamejadili namna ya kuboresha mahusiano baina ya Wizara na UNICEF .

Katika maongezi hayo Bi. Zaman aliishukuru Wizara na taasisi zake kwa ushirikiano inayowapa UNICEF katika programu mbalimbali inazoshirikiana na Wizara.

UNICEF inatekeleza kwa kushirikiana na Wizara katika maeneo ya usajili wa watoto chini ya miaka mitano na kuwapa vyeti vya kuzaliwa, huduma ya msaada wa kisheria na mkakati wa haki mtoto.
Prof. Kabudi akiwa na bibi Zaman balsa ya kumaliza mazungumzo ya yaliyofanyika ofisini kwake mjini Dodoma 


Hivyo makala WAZIRI PROF KABUDI AKUTANA NA MWAKILISHI MKAZI WA UNICEF NCHINI

yaani makala yote WAZIRI PROF KABUDI AKUTANA NA MWAKILISHI MKAZI WA UNICEF NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI PROF KABUDI AKUTANA NA MWAKILISHI MKAZI WA UNICEF NCHINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/waziri-prof-kabudi-akutana-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI PROF KABUDI AKUTANA NA MWAKILISHI MKAZI WA UNICEF NCHINI"

Post a Comment

Loading...