Loading...
title : YANGA YAPATA PIGO SHABIKI WAKE MKUBWA MAARUFU KWA JINA LA ALLY YANGA AFA AJALINI HUKO MPWAPWA MKOANI DODOMA
link : YANGA YAPATA PIGO SHABIKI WAKE MKUBWA MAARUFU KWA JINA LA ALLY YANGA AFA AJALINI HUKO MPWAPWA MKOANI DODOMA
YANGA YAPATA PIGO SHABIKI WAKE MKUBWA MAARUFU KWA JINA LA ALLY YANGA AFA AJALINI HUKO MPWAPWA MKOANI DODOMA
MWANACHANA wa klabu ya Yanga na mpenzi maarufu wa soka nchini, Ally Mohamed anayejulikana zaidi kwa jina la utani ‘Ally Yanga’ amefariki dunia leo baada ya ajali ya gari iliyotokea, eneo la Mpwapwa, Dodoma.
Taarifa zinasema Ally Yanga alikuwa kwenye msafara wa mbio za Mwenge kabla ya kupata ajali hiyo barabara ya Wiyenzele kuelekea Chipogoro na kufariki hapo hapo.
Ally aliyezaliwa mkoani Shinyanga Machi 1, mwaka 1984 katika familia ya watoto sita, kabla ya umauti wake inafahamika alikuwa anaishi Yombo Vituka, Dar es Salaam
Aliibukia Ubungo miaka ya nyuma kidogo ambako alikuwa anafanya shughuli ya kusajili laini za simu za mkononi katika vibanda vilivyokuwa pembeni ya kituo kikuu cha mabasi ya mikoani, Ubungo Terminal.
Na alianza kuonekana Uwanja wa Taifa pamoja na kikundi cha mashabiki wa Yanga cha Ubungo Terminal, ambako ndipo lilipokuwa tawi lake.
Ally Yanga enzi za uhai wake akiishabikia Yanga Uwanja wa Taifa katika mechi tofauti
Lakini tangu baada ya uchaguzi Mkuu Novemba 2015, Ally Yanga ameadimika viwanja vya soka kutokana na kujikita zaidi kwenye shughuli za Chama cha Mapinduzi CCM.
Ally hakuwa shabiki wa Yanga tu, enzi za uhai wake alikuwa
Hivyo makala YANGA YAPATA PIGO SHABIKI WAKE MKUBWA MAARUFU KWA JINA LA ALLY YANGA AFA AJALINI HUKO MPWAPWA MKOANI DODOMA
yaani makala yote YANGA YAPATA PIGO SHABIKI WAKE MKUBWA MAARUFU KWA JINA LA ALLY YANGA AFA AJALINI HUKO MPWAPWA MKOANI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala YANGA YAPATA PIGO SHABIKI WAKE MKUBWA MAARUFU KWA JINA LA ALLY YANGA AFA AJALINI HUKO MPWAPWA MKOANI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/yanga-yapata-pigo-shabiki-wake-mkubwa.html
0 Response to "YANGA YAPATA PIGO SHABIKI WAKE MKUBWA MAARUFU KWA JINA LA ALLY YANGA AFA AJALINI HUKO MPWAPWA MKOANI DODOMA"
Post a Comment