Loading...

ALIYEKUWA KAMADA WA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI (DCP) MOHAMED MPINGA RPC MPYA MKOA WA MBEYA

Loading...
ALIYEKUWA KAMADA WA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI (DCP) MOHAMED MPINGA RPC MPYA MKOA WA MBEYA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ALIYEKUWA KAMADA WA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI (DCP) MOHAMED MPINGA RPC MPYA MKOA WA MBEYA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ALIYEKUWA KAMADA WA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI (DCP) MOHAMED MPINGA RPC MPYA MKOA WA MBEYA
link : ALIYEKUWA KAMADA WA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI (DCP) MOHAMED MPINGA RPC MPYA MKOA WA MBEYA

soma pia


ALIYEKUWA KAMADA WA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI (DCP) MOHAMED MPINGA RPC MPYA MKOA WA MBEYA

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Saimon Sirro,  amefanya mabadiliko ya Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani pamoja na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mbeya.
 
Katika mabadiliko hayo, aliyekuwa Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Naibu Kamishna wa Polisi  Mohamed Mpinga anaenda kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, na nafasi yake inachukuliwa na Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Fortunatus Musilimu.
 
Aidha,  Aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya (DCP) Dhahiri Kidavashari amehamishiwa Makao Makuu ya Upelelezi.
 
Uhamisho huo ni wa kawaida katika kuboresha utendaji wa kazi za Polisi kwa mujibu wa kanuni, taratibu na miongozo ya Jeshi la Polisi.
 
 Imetolewa na:
Barnabas D. Mwakalukwa – ACP
Msemaji wa Jeshi la Polisi.

Makao Makuu ya Jeshi la Polisi.


Hivyo makala ALIYEKUWA KAMADA WA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI (DCP) MOHAMED MPINGA RPC MPYA MKOA WA MBEYA

yaani makala yote ALIYEKUWA KAMADA WA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI (DCP) MOHAMED MPINGA RPC MPYA MKOA WA MBEYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ALIYEKUWA KAMADA WA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI (DCP) MOHAMED MPINGA RPC MPYA MKOA WA MBEYA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/aliyekuwa-kamada-wa-kikosi-cha-usalama.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ALIYEKUWA KAMADA WA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI (DCP) MOHAMED MPINGA RPC MPYA MKOA WA MBEYA"

Post a Comment

Loading...