Aslay akubali yaishe kwa Beka wa Yamoto Band - Hallo rafiki
SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Aslay akubali yaishe kwa Beka wa Yamoto Band, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala general,
makala kisiasa,
makala kitamaduni,
makala kiuchumi,
makala mambo mapya,
makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
Aslay akubali yaishe kwa Beka wa Yamoto Bandlink :
Aslay akubali yaishe kwa Beka wa Yamoto Band
Aslay akubali yaishe kwa Beka wa Yamoto Band
Baada ya kauli ya Beka Flavour kuwa hatomvumilia Aslay iwapo atatoa ngoma nyingine, Aslay amesema hilo halina shida.
Aslay ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma yake mpya ‘Baby’, amesema hafikirii kuwa kitendo cha Beka Flavour kuhairisha kutoa ngoma ili zisigongane na yake ni kumuhofia kwani ni msanii mzuri mwenye muziki mzuri.
“Mfano mdogo Libebe imepita na hata angeamua kutoa ngoma na mimi zingekutana huku mjini na kila shabiki angependa ngoma kwa wakati wake,” Aslay ameiambia E-Newz ya EATV.
Muimbaji huyo ameongeza kuwa kitendo cha Beka kuhairisha kutoa ngoma kinaweza kuwa sawa lakini angependa kumuona akitoa kazi nyingi zaidi kwa kuwa ni ndugu yake.
Alipoulizwa kuhusu kauli ya Beka kuwa yeye ni mdogo kwake kimuziki alijibu, “mimi ni mdogo kweli, hivyo tu”.
By Peter Akaro
Hivyo makala Aslay akubali yaishe kwa Beka wa Yamoto Band
yaani makala yote Aslay akubali yaishe kwa Beka wa Yamoto Band Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Aslay akubali yaishe kwa Beka wa Yamoto Band mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/aslay-akubali-yaishe-kwa-beka-wa-yamoto.html
Related Posts :
SIMBA,YANGA SASA KWENDA KUKIPIGA UWANJA WA AZAM COMPLEX
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
BAADA ya Malalamiko ya muda mrefu kwa timu ya Azam kutaka kutumia Uwanja wao wa Azam Complex kwa m… Read More...
NEEMA YA UPIMAJI AFYA BURE KUTOLEWA KWA WANA DAR ES SALAAM
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda anawatangazia Wananchi wote wa Mkoa huo kujitokeza kwa wingi kwenye Kampeni ya Upimaji wa Afya B… Read More...
MHE UMMY MWALIMU AZINDUA UGAWAJI WA VITAMBULISHO VYA TIBA KWA WAZEE MANISPAA YA UBUNGONa Mathias Canal, Dar es salaam
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe Ummy A. Mwalimu leo Septemba 4, 2017 amezin… Read More...
WANANCHI WA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA WAHIMIZWA KUJIUNGA NA JUMUIYA YAO.
Na Miza Kona, MAELEZO .
MAKAMU wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi, ameitaka Jumuiya ya Maendeleo ya Mkoa wa Kaskazini Unguja kuzidisha m… Read More...
WAUZA NYAMA WATENGA FEDHA KWA AJILI YA KUSAIDIA KULIPIA KAYA MASKINI BIMA YA AFYA
Na Woinde Shizza,Arusha
Umoja wa wauza nyama jijini Arusha (wanjamuco) umetenga shilingi laki tano kwa ajili ya kulipia bima ya afya katik… Read More...
0 Response to "Aslay akubali yaishe kwa Beka wa Yamoto Band"
Post a Comment