Loading...

HABARISerikali kufufua mfuko wa serikali za mtaa

Loading...
HABARISerikali kufufua mfuko wa serikali za mtaa - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa HABARISerikali kufufua mfuko wa serikali za mtaa, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : HABARISerikali kufufua mfuko wa serikali za mtaa
link : HABARISerikali kufufua mfuko wa serikali za mtaa

soma pia


HABARISerikali kufufua mfuko wa serikali za mtaa

Serikali yakusudia kufufua Mfuko wa Maendeleo ya Serikali za Mitaa (LGDG) ili kuendeleza miradi mbalimbali ya maendeleo iliyoibuliwa na wananchi katika Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini.
Akizungumza na wadau mbalimbali wa maendeleo kutoka nchi mbalimbali zinazochangia bajeti ya Serikali katika mkutano uliofanyika, Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Mwalimu Julius Nyerere (JNICC), Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI),George Simbachawene jana jijini Dar es salaam.
“Mfuko huu ulipoanzishwa wananchi walivutiwa sana na walifanya jitihada za kubuni na kuibua miradi mbalimbali kwani Serikali ilitenga bajeti ya fedha kusaidia miradi hiyo, lakini kuanzia miaka ya 2013 hadi 2015 miradi hiyo ilianza kuzorota na ndiyo maana kuna maboma mengi kama vile Vituo vya Afya, Madarasa na Nyumba za Waalimu ambayo hayakukamilika kutokana na mfuko huo kuzorota,” alisema Mhe. Simbachawene
Aidha Simbachaweni alisema kuwa Mfuko huo una umuhimu katika kuinua uchumi na kuleta maendeleo ya Taifa, ambapo wananchi wamekua wakiibua miradi mbalimbali kama vile kujenga barabara, vituo vya Afya, Zahanati, nyumba za Walimu pamoja na madarasa, miradi ambayo imekuwa ikianzishwa na wananchi na kuendelezwa na Serikali.
Na Emmy Mwaipopo


Hivyo makala HABARISerikali kufufua mfuko wa serikali za mtaa

yaani makala yote HABARISerikali kufufua mfuko wa serikali za mtaa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala HABARISerikali kufufua mfuko wa serikali za mtaa mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/habariserikali-kufufua-mfuko-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "HABARISerikali kufufua mfuko wa serikali za mtaa"

Post a Comment

Loading...