Loading...
title : Baalozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia alipotembelea Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Saba Saba
link : Baalozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia alipotembelea Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Saba Saba
Baalozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia alipotembelea Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Saba Saba
Balozi wa Tanzania nchini Saud Arabia, HE Hemed Mgaza, wa pili kutoka kulia, akiwa na mfanyabiashara na Mkurugenzi wa Kampuni ya MIT Group of Companies kutoka Saud Arabia, Sameer Saleh Ahmed, wa pili kutoka kushoto wakiwa ndani ya banda la Kampuni ya Chai Bora kwenye maonyesho ya Kimataifa ya Sabasaba nchini Tanzania.
Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia, Mh Hemed Mgaza, akipata maelekezo yanayohusu utalii wa Tanzania kutoka kwa Aloyce Songay, Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni Binafsi ya Hifadhi Mazingira Karatu (HIMAKA).
Balozi wa Tanzania nchini Saud Arabia, HE Hemed Mgaza, akiwa kwenye banda la Mamlaka ya Korosho Tanzania katika Maonyesho ya Kimataifa ya Sabasaba nchini Tanzania.
Balozi wa Tanzania nchini Saud Arabia, HE Hemed Mgaza, akiwa kwenye banda la Wizara ya Maliasili na Utalii katika Maonyesho ya Kimataifa ya Sabasaba nchini Tanzania.
Hivyo makala Baalozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia alipotembelea Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Saba Saba
yaani makala yote Baalozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia alipotembelea Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Saba Saba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Baalozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia alipotembelea Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Saba Saba mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/baalozi-wa-tanzania-nchini-saudi-arabia.html
0 Response to "Baalozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia alipotembelea Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Saba Saba"
Post a Comment