Loading...

BAKWATA YAITAKA SERIKALI KUMCHUKULIA HATUA MTU MMOJA ANAYEJIITA MTUME MKOANI PWANI.

Loading...
BAKWATA YAITAKA SERIKALI KUMCHUKULIA HATUA MTU MMOJA ANAYEJIITA MTUME MKOANI PWANI. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BAKWATA YAITAKA SERIKALI KUMCHUKULIA HATUA MTU MMOJA ANAYEJIITA MTUME MKOANI PWANI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BAKWATA YAITAKA SERIKALI KUMCHUKULIA HATUA MTU MMOJA ANAYEJIITA MTUME MKOANI PWANI.
link : BAKWATA YAITAKA SERIKALI KUMCHUKULIA HATUA MTU MMOJA ANAYEJIITA MTUME MKOANI PWANI.

soma pia


BAKWATA YAITAKA SERIKALI KUMCHUKULIA HATUA MTU MMOJA ANAYEJIITA MTUME MKOANI PWANI.

Baraza la ulamaa limetoa wito kwa vyombo vya dola kumchukulia hatua stahiki mtu aliyejitokeza katika mkoa wa pwani na kudai yeye ni Mtume. 

Akisoma wito huo, kwa niaba ya Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Ally, Mwenyekiti wa Halmashauri kuu Bakwata Sheikh Hamisi Said Mataka amesema, anachodai mtu huyo aliyetajwa kwa jina la Hamza Issa kuwa yeye ni nabii hayako kabisa katika mafundisho ya kiislamu.

Amesema kauli ya Issa kudai yeye ni mtume na kisha kwamba ni Muislamu kwa kutumia maandiko ya Uislamu, ni upotoshaji mkubwa ambao ukiachwa bila kudhibitiwa ni kuruhusu fujo na uvunjifu wa amani. 

"Kwa mujibu wa maelezo yaliyoenea katika mitandao ya kijamii na ya kutoka baraza za Masheikh wa Mkoa wa Pwani chini ya kiongozi wake Sheikh na Qadhi wa Mkoa wa Pwani, amedai kuwa yeye ni Nabii Ilyasa kwa maana ya kwamba roho ya Nabii Ilyasa imemuingia yeye Hamza Issa na kwa hiyo yeye amekuwa Nabii Ilyasa" amesema Sheikh 

Ameongeza maelekezo na mafundisho ya uislamu yako wazi kuwa hakuna Mtume mwingine katika Uislamu baada ya Mtume Muhammad (S.A.W) na kwamba upatikanaji wa MTU ndani ya uislamu na kudai kuwa yeye ni Mtume ni kutaka kuamsha hisia Kali za waislamu nchini.

"Baraza la Ulamaa linapenda kuwafahamisha waislamu kwamba, yeyote atakayemfuata mpotoshaji huyu atakuwa ametoka ndani ya uislamu" amesema Sheikh Mataka. 

Pia Baraza limetoa wito kwa Masheikh wa Mikoa, Wilaya na viongozi wa taasisi mbali mbali za Kiislam kutotoa fursa ya aina yoyote kwa huyo anayejiita Nabii ( Hamza Issa), ili kuzuia kuipotosha jamii.
Mwenyekiti wa Halmashauri Kuu Bakwata ,Sheikh Khamis Said akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam, juu ya Vyombo vya Dola kuchukua hatua stashiki kwa mtu mmoja mkazi wa Mkoa wa Pwani, Hamza Issa anaejiita Nabii IIyasa .
Waandishi wa Habari wakimsilikiliza Mwenyekiti wa Halmashauri Kuu Bakwata, Sheikh Khamis Said, leo jijini Dar es Salaam. Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii.



Hivyo makala BAKWATA YAITAKA SERIKALI KUMCHUKULIA HATUA MTU MMOJA ANAYEJIITA MTUME MKOANI PWANI.

yaani makala yote BAKWATA YAITAKA SERIKALI KUMCHUKULIA HATUA MTU MMOJA ANAYEJIITA MTUME MKOANI PWANI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BAKWATA YAITAKA SERIKALI KUMCHUKULIA HATUA MTU MMOJA ANAYEJIITA MTUME MKOANI PWANI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/bakwata-yaitaka-serikali-kumchukulia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BAKWATA YAITAKA SERIKALI KUMCHUKULIA HATUA MTU MMOJA ANAYEJIITA MTUME MKOANI PWANI."

Post a Comment

Loading...