Loading...

IGP Sirro afanya mabadiliko, SACP Kaganda kuhamia makao makuu ya Polisi

Loading...
IGP Sirro afanya mabadiliko, SACP Kaganda kuhamia makao makuu ya Polisi - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa IGP Sirro afanya mabadiliko, SACP Kaganda kuhamia makao makuu ya Polisi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : IGP Sirro afanya mabadiliko, SACP Kaganda kuhamia makao makuu ya Polisi
link : IGP Sirro afanya mabadiliko, SACP Kaganda kuhamia makao makuu ya Polisi

soma pia


IGP Sirro afanya mabadiliko, SACP Kaganda kuhamia makao makuu ya Polisi

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Simon Sirro amefanya mabadiliko ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi, SACP Suzan Salome Kaganda, pamoja na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Shinyanga, ACP Murilo Jumanne Murilo.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Leo na Msemaji wa Jeshi la Polisi, ACP Barnabus Mwakalukwa kwa vyombo vya habari, inaeleza kuwa SACP Kaganda amekuwa Mkuu wa Kitengo cha Mafao na Fidia Makao Makuu ya Polisi, na kwamba nafasi yake ya awali imechukuliwa na ACP Murilo aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga. 

Pia ripoti hiyo inaeleza kuwa, nafasi ya aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga imechukuliwa na Kamishna Msaidizi wa Polisi, ACP Simon Haule ambaye alikuwa Afisa Mnadhimu wa Polisi Mkoa wa Mara.
Aidha, taarifa hiyo imeeleza zaidi kuwa, uhamisho huo ni mabadiliko ya kawaida yanayotokea ndani ya jeshi hilo katika kuongeza ufanisi wa utendaji kazi.


Hivyo makala IGP Sirro afanya mabadiliko, SACP Kaganda kuhamia makao makuu ya Polisi

yaani makala yote IGP Sirro afanya mabadiliko, SACP Kaganda kuhamia makao makuu ya Polisi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala IGP Sirro afanya mabadiliko, SACP Kaganda kuhamia makao makuu ya Polisi mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/igp-sirro-afanya-mabadiliko-sacp.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "IGP Sirro afanya mabadiliko, SACP Kaganda kuhamia makao makuu ya Polisi"

Post a Comment

Loading...