Loading...
title : BALOZI KAMALA ATAKA WAKANDARASI WANAOPEWA MIRADI MISSENYI KUIKAMILISHA VIZURI
link : BALOZI KAMALA ATAKA WAKANDARASI WANAOPEWA MIRADI MISSENYI KUIKAMILISHA VIZURI
BALOZI KAMALA ATAKA WAKANDARASI WANAOPEWA MIRADI MISSENYI KUIKAMILISHA VIZURI
Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dkt. Diodorus Buberwa Kamala amewataka wakandarasi wanaopewa kutekeleza miradi ya maendeleo wilaya ya Missenyi kukamilsha miradi kikamilifu vizuri na kwa wakati. Balozi Kamala anaonekana akikagua ukarabati wa zahanati ya kata Kakunyu. Balozi Kamala amekataa kupokea mradi wa ukarabati wa zahanati hiyo baada ya kuambiwa umekamilika wiki mbili zilizopita.
Hivyo makala BALOZI KAMALA ATAKA WAKANDARASI WANAOPEWA MIRADI MISSENYI KUIKAMILISHA VIZURI
yaani makala yote BALOZI KAMALA ATAKA WAKANDARASI WANAOPEWA MIRADI MISSENYI KUIKAMILISHA VIZURI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BALOZI KAMALA ATAKA WAKANDARASI WANAOPEWA MIRADI MISSENYI KUIKAMILISHA VIZURI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/balozi-kamala-ataka-wakandarasi.html
0 Response to "BALOZI KAMALA ATAKA WAKANDARASI WANAOPEWA MIRADI MISSENYI KUIKAMILISHA VIZURI"
Post a Comment