Loading...
title : BALOZI SEIF AKUTANA NA UJUMBE WA KAMPUNI YA MONEO CONSULTING KUTOKA MAURITIUS
link : BALOZI SEIF AKUTANA NA UJUMBE WA KAMPUNI YA MONEO CONSULTING KUTOKA MAURITIUS
BALOZI SEIF AKUTANA NA UJUMBE WA KAMPUNI YA MONEO CONSULTING KUTOKA MAURITIUS
Visiwa vya Zanzibar na Mauritius vina fursa ya kubadilishana uzoefu katika miradi ya Maendeleo ili kujiongezea ujuzi na maarifa yanatayowawezesha Wananchi wake kuimarika zaidi kiuchumi hali itakayosababisha Mataifa yao kuongeza mapato.
Mwenyekiti wa Kampuni ya Kimataifa ya Ushauri kutoka Kisiwa cha Mauritius { Moneo Consulting } Bwana Devanand Virahsawmy akiuongoza ujumbe wa viongozi wa Kampuni hiyo alisema hayo wakati wa mazungumzo yake na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Vuga Mjini Zanzibar.
Bwana Devanand Virahsawmy alisema Sekta ya elimu ambayo ndiyo mama katika Taifa lolote Duniani inaweza kuwa mwanzo wa ushirikiano huo unaoweza kutoa nafasi kwa vijana wa pande hizo mbili kujipatia Elimu ya Msingi, Sekondari hadi vyuo Vikuu .
Alisema mpango huo wa pamoja kupitia Kaisheni ya pamoja kwa Nchi zilizozunguukwa na Bahari ya Hindi utaongeza chachu ya uchumi kwa Vijana waliobobea Kitaaluma sambamba na ongezeko la ajira.
Bwana Devanand alisema Visiwa vya Mauritius tayari vimeshapiga hatua kubwa ya maendeleo hasa katika Sekta ya Utalii kiwango ambacho wanaweza kusaidia Taaluma kwa Nchi zilizo jirani na Visiwa hivyo.
Hivyo makala BALOZI SEIF AKUTANA NA UJUMBE WA KAMPUNI YA MONEO CONSULTING KUTOKA MAURITIUS
yaani makala yote BALOZI SEIF AKUTANA NA UJUMBE WA KAMPUNI YA MONEO CONSULTING KUTOKA MAURITIUS Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BALOZI SEIF AKUTANA NA UJUMBE WA KAMPUNI YA MONEO CONSULTING KUTOKA MAURITIUS mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/balozi-seif-akutana-na-ujumbe-wa_24.html
0 Response to "BALOZI SEIF AKUTANA NA UJUMBE WA KAMPUNI YA MONEO CONSULTING KUTOKA MAURITIUS"
Post a Comment