Loading...
title : BODABODA ILALA WAFANYA MAANDAMANO KUMPONGEZA RAIS MAGUFULI, SHUGHULI ZA JIJI ZASIMAMA KWA MUDA
link : BODABODA ILALA WAFANYA MAANDAMANO KUMPONGEZA RAIS MAGUFULI, SHUGHULI ZA JIJI ZASIMAMA KWA MUDA
BODABODA ILALA WAFANYA MAANDAMANO KUMPONGEZA RAIS MAGUFULI, SHUGHULI ZA JIJI ZASIMAMA KWA MUDA
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mh.Sophia Mjema akizungumza na madereva wa Bodaboda wilaya ya Ilala baada ya kupokea maandamano yao leo yaliyokuwa na leongo la kupongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli kwa Utendaji kazi wake.
Madereva hao walitoa kilio Chao kwa Serikali kutokana na askari na mgambo kuwakamata mara kwa mara wakiwa katika shughuli zao za kila siku na kuomba amri ya kukamatwa iondolewa ili waweze kufanya shughuli zao za kutafuta riziki bila usumbufu
.
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mh.Sophia Mjema akipokea maandamano ya madereva wa Bodaboda wilaya ya Ilala leo jijini Dar es salaam kulia ni Katibu Tawala wa wilaya ya Ilala Ndugu Edward Mpogolo.
Baadhi ya wadereva wa Bodaboda wakimshangilia mkuu wa wilaya ya Ilala Mh. Sophia Mjema wakati alipokuwa akizungumza nao baada ya kupokea maandamano yao leo jijini Dar es salaam.
Baadhi ya madereva wa Bodaboda wakiwa katika maandamano hayo.
Hivyo makala BODABODA ILALA WAFANYA MAANDAMANO KUMPONGEZA RAIS MAGUFULI, SHUGHULI ZA JIJI ZASIMAMA KWA MUDA
yaani makala yote BODABODA ILALA WAFANYA MAANDAMANO KUMPONGEZA RAIS MAGUFULI, SHUGHULI ZA JIJI ZASIMAMA KWA MUDA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BODABODA ILALA WAFANYA MAANDAMANO KUMPONGEZA RAIS MAGUFULI, SHUGHULI ZA JIJI ZASIMAMA KWA MUDA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/bodaboda-ilala-wafanya-maandamano.html
0 Response to "BODABODA ILALA WAFANYA MAANDAMANO KUMPONGEZA RAIS MAGUFULI, SHUGHULI ZA JIJI ZASIMAMA KWA MUDA"
Post a Comment