Loading...

Timu ya Head INC Diaspora 2017 Medical Mission yakutana na Naibu Waziri wa Afya Zanzibar

Loading...
Timu ya Head INC Diaspora 2017 Medical Mission yakutana na Naibu Waziri wa Afya Zanzibar - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Timu ya Head INC Diaspora 2017 Medical Mission yakutana na Naibu Waziri wa Afya Zanzibar, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Timu ya Head INC Diaspora 2017 Medical Mission yakutana na Naibu Waziri wa Afya Zanzibar
link : Timu ya Head INC Diaspora 2017 Medical Mission yakutana na Naibu Waziri wa Afya Zanzibar

soma pia


Timu ya Head INC Diaspora 2017 Medical Mission yakutana na Naibu Waziri wa Afya Zanzibar

Naibu  Waziri wa Afya Bi. Harusi Suleimani alikutana na timu ya msafara wa Madakatari wa Taasisi ya Diaspora ya HEAD, INC ilipokuwa hapa Zanzibar. 

Mkutano huo ulizungumzia mambo kadhaa kwanza kabisa ikiwemo kutoa shukuani kwa taasisi hiyo inayoundwa na kuongozwa na Diaspora wa Tanzania wanaoishi Marekani na Nchi nyingine tofauti. Makamu Waziri alisema ni jinsi gani serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inavyotambua na kuthamini msaada huo . 

Madawa yasiyoungua  Shilingi 1.4 Billioni za Kitanzania yalipelekwa Zanzibar na Taasisi hii yenye Makao Makuu yake nchini Marekani. Halikadhalika Waziri alisisitiza ni Jinsi gani serikali iko tayari kushirikiana na Diaspora katika nyanja ya afya na idara nyingine tofauti. 

Wakizungumza kama waanzilishi wa HEAD,INC na viongozi wa Msafara huu, Dada Asha Nyanganyi na Bwana Iddi Sandaly , walielezea ni jinsi gani walivyofarijika na mapokezi na ushirikiano walioupata kutoka Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar, Zanzibar Diaspora Desk, Ubalozi wa Tanzania Nchi Marekani na Taasisi za Afya na Mahospitali za Zanzibar, haswa Mnazi Mmoja hospital. 

Na wamethibitisha kuwa wamefarijika na kazi kubwa ipo na watarudi tena Zanzibar kila mwaka. Pia wazungumzaji hawa walitwashukuru wanadiaspora wote kwa michango yao ya hali, mali na ujuzi katika kufanikisha shughuli zote za HEAD, INC na haswa hii Medical Mission.

  Zawadi kutoka Ofisi ya Rais Zanzibar iliyokabidhiwa kwa HEAD,INC
  Zawadi kutoka Ofisi ya Rais Zanzibar iliyokabidhiwa kwa HEAD,INC
Naibu Waziri wa Afya wa Zanzibar Bi. Harusi Suleimani Akimkabidhi zawadi Ya "Paint" picha ya thamani ya kuchorwa kwa mkono mmoja wa Madaktari na Daktari kiongozi wa Msafari  Dr. Armel Semo.

      Makamu waziri wa Afya  Bi. Harusi Suleimani Akimkabidhi zawadi Ya "Paint" picha ya thamani ya kuchorwa kwa mkono mmoja wa Medical Team Members Kaka Yahaya Goronga anaeishi Kansas, USA.

    Makamu waziri wa Afya  Bi. Harusi Suleimani Akimkabidhi zawadi Ya "Paint" picha ya thamani ya kuchorwa kwa mkono mmoja wa Medical Team Members Dada Mariam Ganzo anaeishi Canada.



 





































Hivyo makala Timu ya Head INC Diaspora 2017 Medical Mission yakutana na Naibu Waziri wa Afya Zanzibar

yaani makala yote Timu ya Head INC Diaspora 2017 Medical Mission yakutana na Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Timu ya Head INC Diaspora 2017 Medical Mission yakutana na Naibu Waziri wa Afya Zanzibar mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/timu-ya-head-inc-diaspora-2017-medical.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Timu ya Head INC Diaspora 2017 Medical Mission yakutana na Naibu Waziri wa Afya Zanzibar"

Post a Comment

Loading...