Loading...

CHAMA CHA UOKOAJI MAJINI TANZANZIA, CHAMA CHA MAKOCHA WA KUOGELEA NA KIKOSI CHA KMKM WANDAA MAFUNZO YA USALAMA MAJINI ZANZIBAR

Loading...
CHAMA CHA UOKOAJI MAJINI TANZANZIA, CHAMA CHA MAKOCHA WA KUOGELEA NA KIKOSI CHA KMKM WANDAA MAFUNZO YA USALAMA MAJINI ZANZIBAR - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa CHAMA CHA UOKOAJI MAJINI TANZANZIA, CHAMA CHA MAKOCHA WA KUOGELEA NA KIKOSI CHA KMKM WANDAA MAFUNZO YA USALAMA MAJINI ZANZIBAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : CHAMA CHA UOKOAJI MAJINI TANZANZIA, CHAMA CHA MAKOCHA WA KUOGELEA NA KIKOSI CHA KMKM WANDAA MAFUNZO YA USALAMA MAJINI ZANZIBAR
link : CHAMA CHA UOKOAJI MAJINI TANZANZIA, CHAMA CHA MAKOCHA WA KUOGELEA NA KIKOSI CHA KMKM WANDAA MAFUNZO YA USALAMA MAJINI ZANZIBAR

soma pia


CHAMA CHA UOKOAJI MAJINI TANZANZIA, CHAMA CHA MAKOCHA WA KUOGELEA NA KIKOSI CHA KMKM WANDAA MAFUNZO YA USALAMA MAJINI ZANZIBAR

Mmoja wa washiriki wa mafunzo ya usalama majini akimunyesha mgeni rasmin jinsi ya kutoa huduma ya kwanza kwa mtu alieza na kuokolewa katika mafunzo hayo.
Katibu Mkuu Chama cha Uokoaji majini Tanzania Ndg.Alexander Mwaipasi akitoa maelezo ya mafunzo ya usalama majini yatayofundishwa kwa muda wa wiki katika Skuli ya kimataifa iliyopo Mazizini Mjini Zanzibar
Kapten Khatibu Khamis wa Kikosi cha KMKM Zanzibar akifungua mafunzo ya usalama majini kwa vikundi mbalimbali vinavyojishuhulisha na uokoaji Afika Mashariki pamoja na skari wa jeshi hilo katika Skuli ya kimataifa Mazizini Mjini Zanzibar. (kulia) Katibu Mkuu chama cha uokoaji majini Tanzania Bwa. Alexander Mwaipasi na (kushoto) ni Katibu wa KMKM Sports Club luteni Sheha Mohammed Khamis
Mkufunzi Job Kania kutoka chama cha uokoaji cha Dunia (ILS) akifafanua jambo kwa baadhi ya wanafunzi wa mafunzo ya usalama majini yaliyofanyika Skuli ya kimataifa Mazizini Mjini Zanzibar. Picha na Makame Mshenga.


Hivyo makala CHAMA CHA UOKOAJI MAJINI TANZANZIA, CHAMA CHA MAKOCHA WA KUOGELEA NA KIKOSI CHA KMKM WANDAA MAFUNZO YA USALAMA MAJINI ZANZIBAR

yaani makala yote CHAMA CHA UOKOAJI MAJINI TANZANZIA, CHAMA CHA MAKOCHA WA KUOGELEA NA KIKOSI CHA KMKM WANDAA MAFUNZO YA USALAMA MAJINI ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala CHAMA CHA UOKOAJI MAJINI TANZANZIA, CHAMA CHA MAKOCHA WA KUOGELEA NA KIKOSI CHA KMKM WANDAA MAFUNZO YA USALAMA MAJINI ZANZIBAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/chama-cha-uokoaji-majini-tanzanzia.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "CHAMA CHA UOKOAJI MAJINI TANZANZIA, CHAMA CHA MAKOCHA WA KUOGELEA NA KIKOSI CHA KMKM WANDAA MAFUNZO YA USALAMA MAJINI ZANZIBAR"

Post a Comment

Loading...