Loading...

Rais wa Zanzibar Dk.Shein Akutana na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Biashara la Taifa la Zanzibar (ZSTC)

Loading...
Rais wa Zanzibar Dk.Shein Akutana na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Biashara la Taifa la Zanzibar (ZSTC) - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais wa Zanzibar Dk.Shein Akutana na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Biashara la Taifa la Zanzibar (ZSTC), tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais wa Zanzibar Dk.Shein Akutana na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Biashara la Taifa la Zanzibar (ZSTC)
link : Rais wa Zanzibar Dk.Shein Akutana na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Biashara la Taifa la Zanzibar (ZSTC)

soma pia

Rais wa Zanzibar Dk.Shein Akutana na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Biashara la Taifa la Zanzibar (ZSTC)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya  Biashara,Viwanda na Masoko na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Biashara la Taifa la Zanzibar (ZSTC)pamoja na Uongozi wa Shirika la Biashara la Taifa la Zanzibar (ZSTC) katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
Mwenyekiti wa  Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Biashara la Taifa la Zanzibar (ZSTC)Bw.Kassim Malik Suleiman (kushoto) na Wajumbe wengine wa Bodi hiyo wakiwa katika kikao sha siku moja na Uongozi wa Wizara ya  Biashara,Viwanda na Masoko pamoja na Uongozi waShirika la Biashara la Taifa la Zanzibar (ZSTC) chini Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)  kilichofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya  Biashara,Viwanda na Masoko na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Biashara la Taifa la Zanzibar (ZSTC)pamoja na Uongozi wa Shirika la Biashara la Taifa la Zanzibar (ZSTC) katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 04/07/2017. 

Hivyo makala Rais wa Zanzibar Dk.Shein Akutana na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Biashara la Taifa la Zanzibar (ZSTC)

yaani makala yote Rais wa Zanzibar Dk.Shein Akutana na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Biashara la Taifa la Zanzibar (ZSTC) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Zanzibar Dk.Shein Akutana na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Biashara la Taifa la Zanzibar (ZSTC) mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/rais-wa-zanzibar-dkshein-akutana-na_4.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Rais wa Zanzibar Dk.Shein Akutana na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Biashara la Taifa la Zanzibar (ZSTC)"

Post a Comment

Loading...