Loading...

Dk. Kigwangalla afanya ziara mikoa ya Rukwa, Katavi na Tabora

Loading...
Dk. Kigwangalla afanya ziara mikoa ya Rukwa, Katavi na Tabora - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Dk. Kigwangalla afanya ziara mikoa ya Rukwa, Katavi na Tabora, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Dk. Kigwangalla afanya ziara mikoa ya Rukwa, Katavi na Tabora
link : Dk. Kigwangalla afanya ziara mikoa ya Rukwa, Katavi na Tabora

soma pia


Dk. Kigwangalla afanya ziara mikoa ya Rukwa, Katavi na Tabora

Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Mh. Dk.Hamisi Kigwangalla ameendelea na ziara yake ya kikazi ya kukagua huduma za Afya ‘Imarisha Afya’ katika Zahanati, Vituo vya Afya na Hospitali mbalimbali kwenye mikoa ya Rukwa, Katavi pamoja na Tabora.  

Akiwa katika mkoa wa Rukwa, Dk. Kigwangalla aliweza kutembelea Hospitali ya Sumbawanga ambayp ni ya Mkoa wa Rukwa na kujionea mambo mbalimbali huku akiwapongeza kwa namna walivyoboresha huduma zao ikiwemo ile ya Maabara, Chumba cha upasuaji na huduma zingine ambapo aliwaagiza kuhakikisha wanakuwa na hakiba ya kutosha ya damu salama kwa ajili ya dharura kwa wagonjwa wa ukanda huo. 

 Mbali na Hospitali ya Mkoa wa Rukwa, pia aliweza kutembelea kituo ca Laela ambapo pia mbali ya kujionea utendaji kazi wa kituo hicho alipongeza juhudi za Mbunge wa jimbo la Kwera, Mh. Ignas Alloyce Malocha kwa kushirikiana na wananchi wake katika masuala ya huduma za Afya. 

Ziara hiyo katika mkoa wa Rukwa, aliweza kumalizia katika Kituo cha Afya Wampembe kilichopo Wilayani Nkasi ambapo alijionea shughuli mbalimbali ikiwemo huduma za Upasuaji hata hivyo aliutaka uongozi wa kituo hicho ambacho kipo mwambao wa Ziwa Tanganyika kuhakikisha wanakamilisha mifum ya maji safi na salama ndani ya kituo pamoja na kuboresha huduma za Maabara na usafi kwa ajumla. 
Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Mh. Dk.Hamisi Kigwangalla akikagua Maabara ya Mkoa wa Rukwa
Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Mh. Dk.Hamisi Kigwangalla akikaguachumba cha upasuaji Hospitali ya Mkoa wa Rukwa
Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Mh. Dk.Hamisi Kigwangalla akielekea kukagua Maabara ya Kituo cha Afya Laela Mkoa wa Rukwa
Jengo linaloendelea kujengwa kwa ajili ya Hospitali ya Wilaya ya Uyui.



Hivyo makala Dk. Kigwangalla afanya ziara mikoa ya Rukwa, Katavi na Tabora

yaani makala yote Dk. Kigwangalla afanya ziara mikoa ya Rukwa, Katavi na Tabora Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Dk. Kigwangalla afanya ziara mikoa ya Rukwa, Katavi na Tabora mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/dk-kigwangalla-afanya-ziara-mikoa-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Dk. Kigwangalla afanya ziara mikoa ya Rukwa, Katavi na Tabora"

Post a Comment

Loading...