Loading...

Muadhama Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo leo asherehekea miaka 25 kama kiongozi wa Kiroho jimbo Kuu la Dar es salaam

Loading...
Muadhama Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo leo asherehekea miaka 25 kama kiongozi wa Kiroho jimbo Kuu la Dar es salaam - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Muadhama Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo leo asherehekea miaka 25 kama kiongozi wa Kiroho jimbo Kuu la Dar es salaam, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Muadhama Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo leo asherehekea miaka 25 kama kiongozi wa Kiroho jimbo Kuu la Dar es salaam
link : Muadhama Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo leo asherehekea miaka 25 kama kiongozi wa Kiroho jimbo Kuu la Dar es salaam

soma pia


Muadhama Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo leo asherehekea miaka 25 kama kiongozi wa Kiroho jimbo Kuu la Dar es salaam

Muadhama Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam akipongezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi leo muda mfupi kabla ya kuanza kwa sherehe kutimiza miaka 25 kama kiongozi wa Kiroho katika kanisa la Katoliki jimbo Kuu la Dar es salaam katika kanisa la St. Joseph.
Muadhama Polycarp Kardinali Pengo ni kardinali wa pili kutoka Tanzania, akiwa kateuliwa mara baada ya kifo cha Muadhama Laurean Rugambwa, aliyekuwa kardinali wa kwanza kutoka kusini kwa Sahara. 
Alizaliwa kijiji cha Mwazye, mkoani wa Rukwa, tarehe 5 Agosti 1944. Baada ya masomo ya ngazi mbalimbali, alipewa upadrisho mwaka 1971 na askofu Charles Msakila wa Jimbo Katoliki la Sumbawanga, akasoma teolojia ya maadili huko Roma, Italia, akijitwalia digrii ya udaktari mwaka 1977. Kisha kufundisha somo hilo kwa muda mfupi kwenye seminari kuu ya Kipalapala (mkoa wa Tabora), baadaye 
alichaguliwa kuwa gombera wa seminari kuu ya Segerea hadi mwaka 1983. 
Aliteuliwa askofu wa Nachingwea tarehe 11 Novemba 1983, akapewa daraja takatifu hiyo na Papa Yohane Paulo II tarehe 6 Januari 1984. 
Tarehe 17 Oktoba 1986 alihamishiwa jimbo jipya la Tunduru-Masasi. Tarehe 22 Januari 1990 alifanywa askofu mwandamizi wa Dar-es-Salaam na mwaka 1992, ambapo Kardinali Laurean Rugambwa alipojiuzulu, akawa askofu mkuu.
Muadhama Polycarp Kardinali Pengo  aliteuliwa na Papa Yohane Paulo II kuwa kardinali tarehe 21 Februari 1998, akikabidhiwa parokia ya Nostra Signora de La Salette mjini Roma. 
Pamoja na majukumu mbalimbali katika idara za Papa, tangu mwaka 2007 hadi 2013 alikuwa mwenyekiti wa Umoja wa Mabaraza ya Maaskofu Katoliki ya Afrika na Madagaska.


Hivyo makala Muadhama Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo leo asherehekea miaka 25 kama kiongozi wa Kiroho jimbo Kuu la Dar es salaam

yaani makala yote Muadhama Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo leo asherehekea miaka 25 kama kiongozi wa Kiroho jimbo Kuu la Dar es salaam Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Muadhama Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo leo asherehekea miaka 25 kama kiongozi wa Kiroho jimbo Kuu la Dar es salaam mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/muadhama-askofu-mkuu-polycarp-kardinali.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Muadhama Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo leo asherehekea miaka 25 kama kiongozi wa Kiroho jimbo Kuu la Dar es salaam"

Post a Comment

Loading...