Loading...

Hafla ya Tunzo za Super Brands Afrika Mashariki Zafanyika Jijini Dar es Salaam.

Loading...
Hafla ya Tunzo za Super Brands Afrika Mashariki Zafanyika Jijini Dar es Salaam. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Hafla ya Tunzo za Super Brands Afrika Mashariki Zafanyika Jijini Dar es Salaam., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Hafla ya Tunzo za Super Brands Afrika Mashariki Zafanyika Jijini Dar es Salaam.
link : Hafla ya Tunzo za Super Brands Afrika Mashariki Zafanyika Jijini Dar es Salaam.

soma pia


Hafla ya Tunzo za Super Brands Afrika Mashariki Zafanyika Jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Superbrands Afrika Mashariki, Jawad Jaffer akiongea mapema leo katika halfa ya kukabidhi vyeti vya kudhibitisha ubora wa kampuni na bidhaa zinazokubalika Afrika Mashariki iliyofanyika hoteli ya Kilimanjaro Kempinski, Dar es Salaam. Picha na Kajunason/Cathbert Kajuna.
Wakurugenzi na wawakilishi wa kampuni yaliyopata tuzo ya Superbrands wakimsikiliza mkurungenzi wakati wa hafla ya kutoa vyeti kwa kampuni zenye sifa katika hoteli ya Kilimanjaro Kempinski, Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Superbrands Afrika Mashariki, Jawad Jafer (kulia) akimkabidhi Mkurugenzi wa Biashara wa Kampuni ya ChemiCotex (kushoto), Sumit Bhatnagar watengenezaji wa dawa ya meno ya 'Whitedent' cheti cha kudhibitisha ubora wa kampuni na bidhaa zinazokubalika Afrika Mashariki.
Mkurugenzi wa Superbrands Afrika Mashariki, Jawad Jafer (kulia) akimkabidhi Mhariri Mkuu wa ITV Tanzania, Steven Chuwa (kushoto) cheti cha kudhibitisha ubora wa kampuni na bidhaa zinazokubalika Afrika Mashariki.
Mkurugenzi wa Superbrands Afrika Mashariki, Jawad Jafer (kulia) akimkabidhi Mhariri Mkuu wa The Guardian Ltd, Jesse Kwayu (kushoto) cheti cha kudhibitisha ubora wa kampuni na bidhaa zinazokubalika Afrika Mashariki.
Mkurugenzi wa Superbrands Afrika Mashariki, Jawad Jafer (kulia) akimkabidhi Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya MO Dewji, Barbara Gonzalez (kushoto) cheti cha kudhibitisha ubora wa kampuni na bidhaa zinazokubalika Afrika Mashariki.
Mkurugenzi wa Superbrands Afrika Mashariki, Jawad Jafer (kulia) akimkabidhi Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Red Gold, Darsh Dandit (kushoto) cheti cha kudhibitisha ubora wa kampuni na bidhaa zinazokubalika Afrika Mashariki.
Mkurugenzi wa Superbrands Afrika Mashariki, Jawad Jafer (kulia) akimkabidhi Mkurugenzi wa Wateja Maalum wa benki ya NBC, Theobald Sabi (kushoto) cheti cha kudhibitisha ubora wa kampuni na bidhaa zinazokubalika Afrika Mashariki.
Wakurugenzi na wawakilishi wa kampuni yaliyopata tuzo ya Superbrands wakiwa na mkurugenzi wa Superbrands Afrika Mashariki, Jawad Jaffer (wa tatu kutoka kushoto).


Hivyo makala Hafla ya Tunzo za Super Brands Afrika Mashariki Zafanyika Jijini Dar es Salaam.

yaani makala yote Hafla ya Tunzo za Super Brands Afrika Mashariki Zafanyika Jijini Dar es Salaam. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Hafla ya Tunzo za Super Brands Afrika Mashariki Zafanyika Jijini Dar es Salaam. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/hafla-ya-tunzo-za-super-brands-afrika.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Hafla ya Tunzo za Super Brands Afrika Mashariki Zafanyika Jijini Dar es Salaam."

Post a Comment

Loading...