Loading...

Zantel yashiriki katika mkutano wa Mobile 360Africa jijini Dar es Salaam

Loading...
Zantel yashiriki katika mkutano wa Mobile 360Africa jijini Dar es Salaam - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Zantel yashiriki katika mkutano wa Mobile 360Africa jijini Dar es Salaam, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Zantel yashiriki katika mkutano wa Mobile 360Africa jijini Dar es Salaam
link : Zantel yashiriki katika mkutano wa Mobile 360Africa jijini Dar es Salaam

soma pia


Zantel yashiriki katika mkutano wa Mobile 360Africa jijini Dar es Salaam

 Meneja wa Kitengo cha chapa na Mawasiliano Zantel, Rukia Mtingwa (kushoto) akizungumza katika mkutano uliowakutanisha wakuu wa vitengo vya mawasiliano kutoka kampuni mbalimbali Afrika Mashariki wakati wa ufunguzi wa mkutano wa kukuza matumizi ya teknolojia ya simu ili kufikia maendeleo endelevu ulioandaliwa GSMA Mobile 360 Africa kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jana jijini Dar es salaam. Kulia ni Meneja wa Mawasiliano wa Tigo Tanzania Woinde Sishael.
 Meneja wa Kitengo cha chapa na Mawasiliano Zantel, Rukia Mtingwa (kulia) akizungumza katika mkutano uliowakutanisha wakuu wa vitengo vya mawasiliano kutoka kampuni mbalimbali Afrika Mashariki wakati wa ufunguzi wa mkutano wa kukuza matumizi ya teknolojia ya simu ili kufikia maendeleo endelevu ulioandaliwa GSMA Mobile 360 Africa kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jana jijini Dar es salaam. Kushoto ni Mwakilishi kutoka Idara ya Mambo ya nje na biashara Australia Dan Woods.
 Meneja wa Kitengo cha chapa na Mawasiliano Zantel, Rukia Mtingwa (katikati) akizungumza katika mkutano uliowakutanisha wakuu wa vitengo vya mawasiliano kutoka kampuni mbalimbali Afrika Mashariki wakati wa ufunguzi wa mkutano wa kukuza matumizi ya teknolojia ya simu ili kufikia maendeleo endelevu ulioandaliwa GSMA Mobile 360 Africa kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jana jijini Dar es salaam. Kushoto ni Mwakilishi kutoka Idara ya Mambo ya nje na biashara Australia Dan Woods na Kulia ni Meneja Mawasiliano wa Safaricom Eunice Mumma.



Hivyo makala Zantel yashiriki katika mkutano wa Mobile 360Africa jijini Dar es Salaam

yaani makala yote Zantel yashiriki katika mkutano wa Mobile 360Africa jijini Dar es Salaam Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Zantel yashiriki katika mkutano wa Mobile 360Africa jijini Dar es Salaam mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/zantel-yashiriki-katika-mkutano-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Zantel yashiriki katika mkutano wa Mobile 360Africa jijini Dar es Salaam"

Post a Comment

Loading...