Loading...

HAJI MANARA AWASHUKURU TFF KWA KUMFUTIA ADHABU YA KIFUNGO CHA MWAKA MMOJA

Loading...
HAJI MANARA AWASHUKURU TFF KWA KUMFUTIA ADHABU YA KIFUNGO CHA MWAKA MMOJA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa HAJI MANARA AWASHUKURU TFF KWA KUMFUTIA ADHABU YA KIFUNGO CHA MWAKA MMOJA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : HAJI MANARA AWASHUKURU TFF KWA KUMFUTIA ADHABU YA KIFUNGO CHA MWAKA MMOJA
link : HAJI MANARA AWASHUKURU TFF KWA KUMFUTIA ADHABU YA KIFUNGO CHA MWAKA MMOJA

soma pia


HAJI MANARA AWASHUKURU TFF KWA KUMFUTIA ADHABU YA KIFUNGO CHA MWAKA MMOJA

Leo ni Siku kubwa kwa mchezo wa mpira wa miguu nchini hususan washabiki na mchezo huo murua, baada ya kamati ya nidhamu kuitengua adhabu yangu ya kufungiwa mwaka mmoja,kujihusisha na masuala ya kandanda ndani na nje ya nchi. 

Adhabu hii ilikuwa inaiumiza sana klabu yangu na kuiondolea haki yake muhimu, ya kuwapa habari kwa wakati watanzania juu ya kinachoendelea kwenye klabu. 

Kiukweli niishukuru kamati ya nidhamu chini ya Mwenyekiti wake Tarimba Abbas kwa kuiondoa adhabu hii, kiukweli alioondolewa adhabu sio Haji, ni Simba na mchezo wenyewe wa Soka. 

Hakika hawa wamesikia kilio cha wengi, na kilio cha wengi kina nguvu ya Mungu Mwenyezi, Shukran kwa Mola kwa kuwapa nguvu hii kina Tarimba na wenzake. 

Niwashukuru pia viongozi wa TFF kwa utashi wao kwenye hili. 

Nitakuwa mjinga nisipowashukuru wanasimba wenzangu ambao siku zote wamekuwa upande wangu, hawa ninawaahid kuwatumikia kwa moyo na dhamira ileile ya Haji ya kuhakikisha haki na wajibu wetu kama klabu unatekelezwa. 

Kipekee niwashukuru viongozi wangu wa Simba ambao walihakikisha jambo hili linapatiwa ufumbuzi wa haraka na linamalizika kwa njia ya amani. 

 Mwisho

niwashukuru watu wote mliokuwa nami ktk sala na dua zenu,hususan kwenye kipindi kigumu cha adhabu. 

Sitapenda kufukua makaburi, yatupasa sote tusonge mbele, hakuna aliyeshinda, umeshinda mchezo wa soka. 

Nawaahidi kuendelea kufanya kazi zangu kwa weledi,nidhamu na kwa kuzingatia miiko ya mchezo huu unaobeba dhamana za maisha ya watu walio wengi, sambamba na kuendelea kuitetea na kuilinda klabu yangu kwa nguvu zote. 

Haji S Manara
Mkuu wa Habari na mawasiliano
SIMBA SPORTS CLUB

SIMBA NGUVU MOJA


Hivyo makala HAJI MANARA AWASHUKURU TFF KWA KUMFUTIA ADHABU YA KIFUNGO CHA MWAKA MMOJA

yaani makala yote HAJI MANARA AWASHUKURU TFF KWA KUMFUTIA ADHABU YA KIFUNGO CHA MWAKA MMOJA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala HAJI MANARA AWASHUKURU TFF KWA KUMFUTIA ADHABU YA KIFUNGO CHA MWAKA MMOJA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/haji-manara-awashukuru-tff-kwa-kumfutia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "HAJI MANARA AWASHUKURU TFF KWA KUMFUTIA ADHABU YA KIFUNGO CHA MWAKA MMOJA"

Post a Comment

Loading...