Loading...

IGP SIRRO AFANYA ZIARA MKOANI SIMIYU

Loading...
IGP SIRRO AFANYA ZIARA MKOANI SIMIYU - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa IGP SIRRO AFANYA ZIARA MKOANI SIMIYU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : IGP SIRRO AFANYA ZIARA MKOANI SIMIYU
link : IGP SIRRO AFANYA ZIARA MKOANI SIMIYU

soma pia


IGP SIRRO AFANYA ZIARA MKOANI SIMIYU

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, akiweka saini kwenye kitabu cha wageni wakati alipowasili katika ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Antony Mtaka, kwa lengo la kujitambulisha kwenye Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa huo, IGP Sirro yupo mkoani humo kwa ziara ya kikazi na kuzungumza na askari wa Jeshi hilo.
Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Antony Mtaka (kushoto), akimsikiliza Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, ambaye amefika katika ofisi yake kwa lengo la kujitambulisha kwenye Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa huo, IGP Sirro yupo mkoani humo kwa ziara ya kikazi na kuzungumza na askari wa Jeshi hilo, kulia ni kamanda wa Polisi mkoa wa Simiyu, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Boniveture Mushongi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, akizungumza na baadhi ya wananchi wa Mwamapalala mkoani Simiyu, wakati akiwa njiani kuelekea mkoani Shinyanga, kwa ziara ya kikazi yenye lengo la kuzungumza na askari wa Jeshi hilo pamoja nakujua changamoto wanazokutananazo wakitekeleza majukumu yao.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, akizungumza na baadhi ya wananchi wa Maganzo mkoani Shinyanga, wakati alipowasili akitokea mkoani Simiyu kwa ziara ya kikazi yenye lengo la kuzungumza na askari wa Jeshi hilo pamoja nakujua changamoto wanazokutananazo wakitekeleza majukumu. Picha na Demetrius Njimbwi – Jeshi la Polisi.


Hivyo makala IGP SIRRO AFANYA ZIARA MKOANI SIMIYU

yaani makala yote IGP SIRRO AFANYA ZIARA MKOANI SIMIYU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIRRO AFANYA ZIARA MKOANI SIMIYU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/igp-sirro-afanya-ziara-mkoani-simiyu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "IGP SIRRO AFANYA ZIARA MKOANI SIMIYU"

Post a Comment

Loading...