Loading...

IGP SIRRO APOKEA MSAADA WA MAGARI MANNE LEO JIJINI DAR

Loading...
IGP SIRRO APOKEA MSAADA WA MAGARI MANNE LEO JIJINI DAR - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa IGP SIRRO APOKEA MSAADA WA MAGARI MANNE LEO JIJINI DAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : IGP SIRRO APOKEA MSAADA WA MAGARI MANNE LEO JIJINI DAR
link : IGP SIRRO APOKEA MSAADA WA MAGARI MANNE LEO JIJINI DAR

soma pia


IGP SIRRO APOKEA MSAADA WA MAGARI MANNE LEO JIJINI DAR

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro na Meneja Mkuu wa kampuni ya utengenezaji magari ya Haval, Jianguo Liu wakikata utepe kuashiria kukabidhiwa magari manne yaliyotolewa na kampuni hiyo ikiwa ni juhudi zake katika kulisaidia Jeshi la Polisi kupambana na uhalifu nchini. Hafla hiyo imefanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Polisi,Oysterbay,jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro akisikiliza maelekezo ya jinsi inavyotumika moja ya magari manne waliyokabidhiwa na Kampuni ya utengenezaji magari ya Haval. Anayemuelekeza ni Meneja wa Kampuni ya Kifaru, Mario Gaspari. Hafla hiyo imefanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Polisi, Oysterbay, jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro akizungumza wakati wa Hafla ya makabidhiano magari manne yaliyotolewa na Kampuni ya utengenezaji magari ya Haval, ambapo aliishukuru kampuni hiyo kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi katika vita ya kupambana na uhalifu. Hafla hiyo imefanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Polisi,Oysterbay,jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Kampuni ya utengenezaji magari ya Haval, Jianguo Liu, akizungumza wakati wa Hafla ya makabidhiano magari manne yaliyotolewa na Kampuni hiyo ambapo aliahidi kushirikiana na Jeshi la Polisi katika vita ya kupambana na uhalifu nchini.Kushoto aliyesimama ni mkalimani wa lugha ya kichina.Hafla hiyo imefanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Polisi, Oysterbay, jijini Dar es Salaam.



Hivyo makala IGP SIRRO APOKEA MSAADA WA MAGARI MANNE LEO JIJINI DAR

yaani makala yote IGP SIRRO APOKEA MSAADA WA MAGARI MANNE LEO JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIRRO APOKEA MSAADA WA MAGARI MANNE LEO JIJINI DAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/igp-sirro-apokea-msaada-wa-magari-manne.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "IGP SIRRO APOKEA MSAADA WA MAGARI MANNE LEO JIJINI DAR"

Post a Comment

Loading...