Loading...
title : IGP SIRRO APOKEA MSAADA WA MAGARI MANNE LEO JIJINI DAR ES SALAAM
link : IGP SIRRO APOKEA MSAADA WA MAGARI MANNE LEO JIJINI DAR ES SALAAM
IGP SIRRO APOKEA MSAADA WA MAGARI MANNE LEO JIJINI DAR ES SALAAM
Mkuuwa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro na Meneja Mkuu wa kampuni ya utengenezaji magari ya Haval,Jianguo Liu wakikata utepe kuashiria kukabidhiwa magari manne yaliyotolewa na kampuni hiyo ikiwa ni juhudi zake katika kulisaidia Jeshi la Polisi kupambana na uhalifu nchini.Hafla hiyo imefanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Polisi,Oysterbay,jijini Dar esSalaam
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro akisikiliza maelekezo ya jinsi inavyotumika moja ya magari manne waliyokabidhiwa na Kampuni ya utengenezaji magari ya Haval.Anayemuelekeza ni Meneja wa Kampuni ya Kifaru,Mario Gaspari.Hafla hiyo imefanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Polisi,Oysterbay,jijini Dar es Salaam
MkuuwaJeshi la Polisi nchini (IGP), Simon SirroakikaguamojayamagarimannewaliyokabidhiwanaKampuniyautengenezajimagariyaHaval.AmbapoaliishukurukampunihiyokwakushirikiananaJeshi la Polisi katika vita yakupambananauhalifu.HaflahiyoimefanyikaleokatikaUkumbiwaMikutanowaPolisi,Oysterbay,jijini Dar esSalaam
MkuuwaJeshi la Polisi nchini (IGP), Simon SirroakizungumzawakatiwaHaflayamakabidhianomagarimanneyaliyotolewanaKampuniyautengenezajimagariyaHaval, ambapoaliishukurukampunihiyokwakushirikiananaJeshi la Polisi katika vita yakupambananauhalifu.HaflahiyoimefanyikaleokatikaUkumbiwaMikutanowaPolisi,Oysterbay,jijini Dar es Salaam
MenejawaKampuniyautengenezajimagariyaHaval,Jianguo Liu,akizungumzawakatiwaHaflayamakabidhianomagarimanneyaliyotolewanaKampunihiyoambapoaliahidikushirikiananaJeshi la Polisi katika vita yakupambananauhalifunchini.Kushotoaliyesimamanimkalimaniwalughayakichina.HaflahiyoimefanyikaleokatikaUkumbiwaMikutanowa Polisi, Oysterbay, jijini Dar es Salaam.
MkuuwaJeshi la Polisi nchini (IGP), Simon SirroakipitambeleyamagarimanneyaliyotolewanaKampuniyautengenezajimagariyaHaval, ambapoaliishukurukampunihiyokwakushirikiananaJeshi la Polisi katika vita yakupambananauhalifu.HaflahiyoimefanyikaleokatikaUkumbiwaMikutanowa Polisi,Oysterbay,jijini Dar es Salaam.
MkuuwaJeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro(wannekulia), akiwakatikapichayapamojanaMenejawaKampuniyautengenezajimagariyaHaval,Jianguo Liu(watatukushoto),baadayamakabidhianoyamagarimannekutokakwakampunihiyoikiwanimchangowaokatikakulisaidiaJeshi la Polisi kupambananauhalifunchini.WengineniviongoziwajuuwajeshinaviongoziwakampuniyaHaval.HaflahiyoimefanyikaleokatikaUkumbiwaMikutanowaPolisi,Oysterbay,jijini Dar es Salaam.PichanaWizaraya Mambo yaNdaniyaNchi
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Hivyo makala IGP SIRRO APOKEA MSAADA WA MAGARI MANNE LEO JIJINI DAR ES SALAAM
yaani makala yote IGP SIRRO APOKEA MSAADA WA MAGARI MANNE LEO JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIRRO APOKEA MSAADA WA MAGARI MANNE LEO JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/igp-sirro-apokea-msaada-wa-magari-manne_14.html
0 Response to "IGP SIRRO APOKEA MSAADA WA MAGARI MANNE LEO JIJINI DAR ES SALAAM"
Post a Comment