Loading...

JAFO AHIMIZA WANANCHI KUTUNZA MIRADI YA MAJI

Loading...
JAFO AHIMIZA WANANCHI KUTUNZA MIRADI YA MAJI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JAFO AHIMIZA WANANCHI KUTUNZA MIRADI YA MAJI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JAFO AHIMIZA WANANCHI KUTUNZA MIRADI YA MAJI
link : JAFO AHIMIZA WANANCHI KUTUNZA MIRADI YA MAJI

soma pia


JAFO AHIMIZA WANANCHI KUTUNZA MIRADI YA MAJI

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi Selemani Jafo amewataka wananchi wa wilaya ya Ukerewe kutunza miradi ya Maji kwa kuwa serikali inaigharamia kwa fedha nyingi.

Jafo aliyasema hayo alipotembelea mradi mkubwa wa maji wa Kazilamkanda ambao utahudumia vijiji vipatavyo 13 wilayani humo.

Amesema serikali inafanya jitihada za kuwatatulia wananchi wake kero mbalimbali ikiwemo ya upatikanaji wa huduma ya maji, hivyo ni vyema wakatunza miundombinu ya miradi hiyo ili iweze kudumu kwa muda mrefu.

Akikagua mradi huo, Jafo alimpongeza Mkandarasi aliye jenga chanzo na tanki la kuhifadhia maji la lita 680,000 ambaye ni Lutare Make Enginnering Ltd kwa kazi nzuri.

Amesisitiza kukamilishwa kwa usambazaji wa Maji katika vijiji vyote 13 kabla  ya Disemba 30 mwaka huu.

Naibu Waziri huyo amesisitiza kulazwa mabomba yaliyo na ubora ili kuepusha kupasuka kwa mabomba endapo mabomba hayo yatakuwa hayana viwango na kusababisha hasara kubwa kwa wananchi na halmashauri baada ya kukabidhiwa mradi husika.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi Selemani Jafo akizungumza na wananchi wa kijiji cha Rutala wilayani Ukerewe mkoani Mwanza juu ya utunzaji wa miradi ya maji.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi Selemani Jafo akipata taarifa kuhusu miradi ya maji wilayani Ukerewe.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi Selemani Jafo akifanya ukaguzi wa tenki la maji.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi Selemani Jafo akifanya ukaguzi wa mashine za kusukumia maji.


Hivyo makala JAFO AHIMIZA WANANCHI KUTUNZA MIRADI YA MAJI

yaani makala yote JAFO AHIMIZA WANANCHI KUTUNZA MIRADI YA MAJI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JAFO AHIMIZA WANANCHI KUTUNZA MIRADI YA MAJI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/jafo-ahimiza-wananchi-kutunza-miradi-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JAFO AHIMIZA WANANCHI KUTUNZA MIRADI YA MAJI"

Post a Comment

Loading...