Loading...
title : SAM KAMANGA WA 'ATI' AWATAKA WADAU WA BIMA WAWEKEZE KWENYE TEKNOLOJIA
link : SAM KAMANGA WA 'ATI' AWATAKA WADAU WA BIMA WAWEKEZE KWENYE TEKNOLOJIA
SAM KAMANGA WA 'ATI' AWATAKA WADAU WA BIMA WAWEKEZE KWENYE TEKNOLOJIA
Mwenyekiti wa Umoja wa Makampuni ya Bima Tanzania (ATI) ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima Taifa (NIC) Sam Kamanga akiwa na watendaji wake jana katika banda la NIC Mlimani City wakati wa maonyesho ya wadau wa sekta ya bima kandokando ya mkutano wao maarufu kama African Insurance Summit
Mwenyekiti wa Umoja wa Makampuni ya Bima Tanzania (ATI) ambaye pia ni Mkurugenzi wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) Sam Kamanga akizungumza wakati wa mkutano huo.
Mkurugenzi wa Ufuatiliaji na Usimamizi wa Bima wa Mamlaka ya Bima Tanzania (TIRA) Elia Kajiba akizungumza wakati alipotembelea banda Shirika la Bima la Taifa (NIC) kwenye maonyesho ya makampuni ya Bima nchini yaliyofanyika jana Mlimani City Jijini Dar es Salaam na kuandaliwa na Taasisi ya Bima Tanzania (IIT), kushoto ni Mwenyekiti wa Umoja wa Makampuni ya Bima Tanzania (ATI) ambaye pia ni Mkurugenzi wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) Sam Kamanga na kulia ni Afisa Bima Mwandamizi wa NIC Konjeta Mwaipopo.
Kaimu Mkurugenzi wa Masoko waShirika la Bima la Taifa Elisante Maleko, akimkabidhi zawadi ya kikombe Mkurugenzi wa Ufuatiliaji na Usimamizi wa Bima wa Mamlaka ya Bima Tanzania (TIRA) Elia Kajiba alipotembelea banda la NIC katika maonyesho ya wadau wa bima Jijini Jana
Mwenyekiti wa Umoja wa Makampuni ya Bima Tanzania (ATI) ambaye pia ni Mkurugenzi wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) Sam Kamanga (Kulia) akisalimiana na Mkurugenzi wa Ufuatiliaji na Usimamizi wa Bima wa Mamlaka ya Bima Tanzania (TIRA) Elia Kajiba kando kando ya mkutano huo wa wadau wa bima African Insurance Summit
Hivyo makala SAM KAMANGA WA 'ATI' AWATAKA WADAU WA BIMA WAWEKEZE KWENYE TEKNOLOJIA
yaani makala yote SAM KAMANGA WA 'ATI' AWATAKA WADAU WA BIMA WAWEKEZE KWENYE TEKNOLOJIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SAM KAMANGA WA 'ATI' AWATAKA WADAU WA BIMA WAWEKEZE KWENYE TEKNOLOJIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/sam-kamanga-wa-ati-awataka-wadau-wa.html
0 Response to "SAM KAMANGA WA 'ATI' AWATAKA WADAU WA BIMA WAWEKEZE KWENYE TEKNOLOJIA"
Post a Comment