Loading...

JAFO AZITAKA HALMASHAURI KUWAWEZESHA KINAMAMA NA VIJANA KWA VITENDO

Loading...
JAFO AZITAKA HALMASHAURI KUWAWEZESHA KINAMAMA NA VIJANA KWA VITENDO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JAFO AZITAKA HALMASHAURI KUWAWEZESHA KINAMAMA NA VIJANA KWA VITENDO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JAFO AZITAKA HALMASHAURI KUWAWEZESHA KINAMAMA NA VIJANA KWA VITENDO
link : JAFO AZITAKA HALMASHAURI KUWAWEZESHA KINAMAMA NA VIJANA KWA VITENDO

soma pia


JAFO AZITAKA HALMASHAURI KUWAWEZESHA KINAMAMA NA VIJANA KWA VITENDO

NAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo amezitaka halmashauri kuwawezesha vijana na kinamama kwa vitendo kwa kuyapa makundi hayo baadhi ya kazi zilizo chini ya halmashauri ambazo wanao uwezo wa kuzifanya ili wajiongezee kipato.

Jafo ameyasema hayo leo katika hafla ya kukabidhi hundi ya Sh. milioni 70 iliyotolewa na Manispaa ya Dodoma kwa vikundi vya ujasiliamali vya vijana na kinamama ndani ya manispaa hiyo.

Ameeleza kwamba haipendezi kwa halmashauri yeyote kuwanyima fursa ya kazi vikundi vya vijana na kinamama ambapo kazi hizo zinaweza kufanywa na makundi hayo.

Jafo ametolea mfano kikundi cha vijana cha DOYODO ambacho kina kiwanda cha kisasa cha kufyatua Matofali lakini wanahangaika soko  la kuuzia matofali wakati kuna ujenzi mkubwa wa madarasa na vyoo unaotarajiwa kuanza hivi karibuni.

Wawakilishi wa vikundi vya vijana na kinamama wa Manispaa ya Dodoma wakipokea hundi ya Sh.Milioni 70 kwa ajili ya shughuli za ujasiriamali.
 Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi), Selemani Jafo akizungumza na wajasiriamali wa Manispaa ya Dodoma katika hafla ya kukabidhi hundi ya Sh.Milioni 70 kwa ajili ya vikundi vya Kinamama na Vijana.
 Mkurugenzi wa Manispaa ya Dodoma Godwin Kunambi akitoa taarifa ya mikopo ya vijana na kinamama kwa Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo.

HABARI ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala JAFO AZITAKA HALMASHAURI KUWAWEZESHA KINAMAMA NA VIJANA KWA VITENDO

yaani makala yote JAFO AZITAKA HALMASHAURI KUWAWEZESHA KINAMAMA NA VIJANA KWA VITENDO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JAFO AZITAKA HALMASHAURI KUWAWEZESHA KINAMAMA NA VIJANA KWA VITENDO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/jafo-azitaka-halmashauri-kuwawezesha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JAFO AZITAKA HALMASHAURI KUWAWEZESHA KINAMAMA NA VIJANA KWA VITENDO"

Post a Comment

Loading...