Loading...
title : NEWZ ALERT:TUNDU LISSU AFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU MCHANA HUU
link : NEWZ ALERT:TUNDU LISSU AFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU MCHANA HUU
NEWZ ALERT:TUNDU LISSU AFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU MCHANA HUU
Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema),Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA na Rais chama cha Mawakili nchini (TLS),Mh. Tundu Lissu akishuka kwenye gari maalum mara baada ya kufikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mapema hii leo jijini Dar,akituhumiwa kwa makosa ya Uchochezi.
Tundu Lisu alikamatwa Julai 20 2017 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) alikokuwa akielekea Kigali, Rwanda kwenye Mkutano wa Marais wa Vyama vya Mawakili Afrika Mashariki.
Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA na Rais wa chama cha Mawaikili nchini (TLS),Mh. Tundu Lissu akiingizwa ndani ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mapema hii leo jijini Dar,kujibu tuhuma za kesi yake inayomkabili ya ya Uchochezi.
Tundu Lisu alikamatwa Julai 20 2017 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) alikokuwa akielekea Kigali, Rwanda kwenye Mkutano wa Marais wa Vyama vya Mawakili Afrika Mashariki.
HABARI ZAIDI TUTAWALETEA HIVI PUNDE.
Hivyo makala NEWZ ALERT:TUNDU LISSU AFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU MCHANA HUU
yaani makala yote NEWZ ALERT:TUNDU LISSU AFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU MCHANA HUU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NEWZ ALERT:TUNDU LISSU AFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU MCHANA HUU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/newz-alerttundu-lissu-afikishwa.html
0 Response to "NEWZ ALERT:TUNDU LISSU AFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU MCHANA HUU"
Post a Comment