Loading...
title : JUMUIYA YA WATANZANIA READING - BERKSHIRE YAPATA UONGOZI MPYA
link : JUMUIYA YA WATANZANIA READING - BERKSHIRE YAPATA UONGOZI MPYA
JUMUIYA YA WATANZANIA READING - BERKSHIRE YAPATA UONGOZI MPYA
VIONGOZI WAPYA WALIOCHAGULIWA KUONGOZA JUMUIYA YA WATANZANIA READING - BERKSHIRE NI KAMA IFUATAVYO:
MWENYEKITI NI NDUGU JOE J.E WARIOBA, MAKAMU MWENYEKITI NI Bi. LAURA BANDUKA, KATIBU MKUU NI Bi. Raya Walker, NAIBU KATIBU {KAIMU}, Bw. Peter Owino, MTUNZA HAZINA ni Bi. FLORA DICKSON, wakati MTUNZA HAZINA MSAIDIZI ni Ndugu Elijah Mwamunyange.
WAJUMBE SITA NI Peter Owino, MOHAMMED Upete, Paul Onyango, Geofrey Mumu, Evelyne Furzei na Dorine White, wakati Mkaguzi Mkuu wa Mahesabu (AUDITOR) ni Eliud Mwijarubi.
Pia kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania Diaspora Community United Kingdom of Great Britain & kila jumuiya za matawi zinatakiwa kuchagua wawakilishi wawili (2) katika Baraza (The Council) la Tanzania Diaspora UK. Wajumbe watachaguliwa hapo baadae.
Napenda kutumia nafasi hii kuwapongeza sana katika hatua hio kubwa na ya muhimu katika ujenzi wa Umoja wa Watanzania UK
Asanteni sana
Uongozi: TA READING - BERKSHIRE*Kwa kushirikiana na
Tanzania Diaspora Community/Association - United Kingdom of Great Britain & Northern Ireland
Makamu na Kaimu Mwenyekiti Mstaafu Ndugu Hussein Chang'a akimpongeza Mwenyekiti Mpya wa TA Reading- Berkshire aliyechaguliwa Ndugu Joe J.E Warioba. Kushoto ni Katibu mpya Bi Raya Walker na kulia ni Makamu mwenyekiti mpya Bi. Laura Noel
Mtunza Hazina Bi. Flora Dickson akimkabidhi ripoti ya Fedha na Akaunti ya Jumuiya Mwenyekiti Mpya wa TA READING BERKSHIRE Ndugu Joe J.E Warioba |
Wanakamati na Viongozi wa wapya wa Jumuiya
Viongozi wa TZUK na TA READING BERKSHIRE
Baadhi ya Viongozi wa Kamati ya Uchaguzi TA READING- BERKSHIRE na Uongozi wa TZUK. Kwa taarifa kamili BOFYA HAPA
Hivyo makala JUMUIYA YA WATANZANIA READING - BERKSHIRE YAPATA UONGOZI MPYA
yaani makala yote JUMUIYA YA WATANZANIA READING - BERKSHIRE YAPATA UONGOZI MPYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala JUMUIYA YA WATANZANIA READING - BERKSHIRE YAPATA UONGOZI MPYA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/jumuiya-ya-watanzania-reading-berkshire.html
0 Response to "JUMUIYA YA WATANZANIA READING - BERKSHIRE YAPATA UONGOZI MPYA"
Post a Comment