Loading...
title : KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA WATUMISHI WA NEMC.
link : KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA WATUMISHI WA NEMC.
KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA WATUMISHI WA NEMC.
Mwambawahabari
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais Profesa Faustin Kamuzora akiongea na Watumishi wa Baraza la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) alipokutana nao kuongea mambo mbalimbali ya Kiutumishi, Ofisi hiyo ambayo iko Chini ya Ofisi ya Makamu wa Rais.
Mmoja wa Watumishi wa Baraza la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Injinia Renalda Mukandara akichangia maoni yake wakati wa kikao hiko.
Sehemu ya Watumishi wa Baraza la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais Profesa Faustin Kamuzora (hayupo pichani) alipokua akiongea nao alipokutana nao katika Ofisi za Baraza hilo.
Hivyo makala KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA WATUMISHI WA NEMC.
yaani makala yote KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA WATUMISHI WA NEMC. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA WATUMISHI WA NEMC. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/katibu-mkuu-ofisi-ya-makamu-wa-rais_18.html
0 Response to "KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA WATUMISHI WA NEMC."
Post a Comment