Loading...

Lipumba aikingia kifua RITA, asema hakuna wa kuishitaki mahakamani

Loading...
Lipumba aikingia kifua RITA, asema hakuna wa kuishitaki mahakamani - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Lipumba aikingia kifua RITA, asema hakuna wa kuishitaki mahakamani, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Lipumba aikingia kifua RITA, asema hakuna wa kuishitaki mahakamani
link : Lipumba aikingia kifua RITA, asema hakuna wa kuishitaki mahakamani

soma pia


Lipumba aikingia kifua RITA, asema hakuna wa kuishitaki mahakamani

Mwambawahabari
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Profesa Ibrahim Lipumba ameikingia kifua Wakala wa Usajili, Ufilisi, na Udhamini (RITA) kuhusu maamuzi yake ya kusajili wajumbe wapya wa Bodi ya Wadhamini ya chama hicho.

Wakati akizungumza na Waandishi wa Habari, leo Julai 4,2017 amedai kuwa, RITA ilizingatia vigezo stahiki wakati wa kusajili wajumbe hao kwani wajumbe wa Bodi ya CUF wa awali walimaliza muda wao tangu Agosti 9, 2015 kwa mujibu wa katiba ya chama hicho.
“RITA ilizingatia vigezo vyote katika kusajili wajumbe wapya wa bodi ya wadhamini, sababu wale walioteuliwa na Baraza Kuu mwaka 2010 walimaliza muda wao wa miaka mitano tangu Agosti 9, 2015,” amesema.
Lipumba amedai kuwa, CUF haikuwa na Bodi ya Wadhamini halali tangu Agosti 2015 hadi Juni 12,2017 baada ya RITA kusajili wajumbe wapya walioteuliwa na Baraza Kuu la Uongozi la chama hicho.
Amedai kuwa, Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Shariff Hamad aliyetangaza hivi karibuni kuishitaki RITA mahakamani kutokana na kusajili wajumbe hao kinyume na sheria na katiba ya CUF, hana mamlaka ya kuishitaki wakala huo kwa niaba ya chama hicho.
“Bodi pekee ndio yenye mamlaka ya kufungua kesi mahakamani, sio mimi wala yeye, na hatukuwa na bodi halali tangu mwaka 2015. Bodi halali ilichaguliwa na baraza kuu katika ukumbi wa Shabani Mloo,” amesema.


Hivyo makala Lipumba aikingia kifua RITA, asema hakuna wa kuishitaki mahakamani

yaani makala yote Lipumba aikingia kifua RITA, asema hakuna wa kuishitaki mahakamani Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Lipumba aikingia kifua RITA, asema hakuna wa kuishitaki mahakamani mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/lipumba-aikingia-kifua-rita-asema.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Lipumba aikingia kifua RITA, asema hakuna wa kuishitaki mahakamani"

Post a Comment

Loading...