Loading...

MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 59 MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JULAI 4, 2017.

Loading...
MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 59 MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JULAI 4, 2017. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 59 MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JULAI 4, 2017., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 59 MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JULAI 4, 2017.
link : MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 59 MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JULAI 4, 2017.

soma pia


MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 59 MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JULAI 4, 2017.

Mwambawahabari

PIX 1 Mhe.Tulia
Naibu Spika  wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk.Tulia Ackson  akiongoza    kikao cha hamsini na tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 4, 2017.
PIX 2 Mhe.Palamagamba
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Prof Palamagamba Kabudi akisoma maelezo kuhusu Sheria ya marekebisho ya Sheria mbalimbali wa Mwaka 2017  kikao cha hamsini na tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 4, 2017.
PIX 3 Mhe.Masauni
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Hamad Masauni akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha hamsini na tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 4, 2017.
PIX 4 Mhe.Anthony Mavunde
Naibu Waziri akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha hamsini na tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 4, 2017.

PIX 5 Mhe.kairuki
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mhe.Angeline Kairuki  akijibu maswali mbalimbali ya wabunge   katika kikao cha hamsini na tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 4, 2017.
PIX 6 Dotto Biteko
Mbunge wa Bukombe Mhe.Dotto Biteko akiuliza swali  katika kikao cha hamsini na tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 4, 2017.
PIX 7 Mhe.Salma Kikwete
Mbunge wa Kuteuliwa Mhe.Salma Kikwete akiuliza swali katika kikao cha hamsini na tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 4, 2017.
PIX 8 Mhe.Mwakyembe na Mwigulu
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Dk Harrison Mwakyembe akiteta jambo na Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Mwigulu Nchemba   katika kikao cha hamsini na tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 4, 2017.
PIX 9 Mshindi wa tuzo
Mshindi wa Tuzo ya Stephen Thomas Award Bw.Samwel Edward Mwanyika mwenye ugonjwa wa Down Syndrome akionyesha tuzo yake Bungeni baada ya kushinda tuzo hiyo ya Dunia nchini Uingereza kwa kupiga picha inayovutia leo Mjini Dodoma Julai 4, 2017.Wengine ni Mama yake Bi.Sophia Mshangama na Kaka yake Ndg Elias Mwanyika
PIX 10 Mhe.Waziri MKuu
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza  jambo na Mbunge wa Mtama Mhe.Nape Nnauye  katika kikao cha hamsini na tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 4, 2017.
PIX 11 wageni bungeni
Walimu na wanafunzi kutoka Sekondari ya Nyangao kutoka Mtama Mkoani Lindi wakiwa Bungeni kujifunza shughuli mbalimbali katika kikao cha hamsini na tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 4, 2017.
PIX 12 Mhe.Mwinyi na Martha


Hivyo makala MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 59 MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JULAI 4, 2017.

yaani makala yote MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 59 MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JULAI 4, 2017. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 59 MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JULAI 4, 2017. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/matukio-katika-picha-yaliyojiri-katika_4.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 59 MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JULAI 4, 2017."

Post a Comment

Loading...