Loading...
title : maendeleo ya mchezo wa Baseball na Softball Tanzania
link : maendeleo ya mchezo wa Baseball na Softball Tanzania
maendeleo ya mchezo wa Baseball na Softball Tanzania
Taarifa kutoka kwa Katibu Mkuu wa Chama cha mchezo wa Baseball na Softball Tanzania ndugu Alpherio Nchimbi zinasema kwamba mafunzo kwa walimu pamoja na wachezaji wa Baseball Mkoani Mbeya yamekamilika kwa mfanikio makubwa ambapo zaidi ya washiriki 50 wamepata mafunzo hayo na kukabidhiwa vyeti vya kuhitimu. Mafunzo hayo yalitolewa na mwalimu mbobezi kutoka Japan ndugu Hiroki Iwasaki, yalianza tarehe 15 Julai na kukamilika jana Jumapili tarehe 16 Julai, 2017 yalikuwa ni ya siku nzima. "Intensive training program". Picha hizo zinaonyesha washiriki wakiwa viwanjani.
mafunzo kwa walimu pamoja na wachezaji wa Baseball Mkoani Mbeya
mafunzo kwa walimu pamoja na wachezaji wa Baseball Mkoani Mbeya
Baadhi ya washiriki 50 ambao wamepata mafunzo hayo na kukabidhiwa vyeti vya kuhitimu wakiwa na na mwalimu mbobezi kutoka Japan ndugu Hiroki Iwasaki
Hivyo makala maendeleo ya mchezo wa Baseball na Softball Tanzania
yaani makala yote maendeleo ya mchezo wa Baseball na Softball Tanzania Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala maendeleo ya mchezo wa Baseball na Softball Tanzania mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/maendeleo-ya-mchezo-wa-baseball-na.html
0 Response to "maendeleo ya mchezo wa Baseball na Softball Tanzania"
Post a Comment