Loading...

Maisha : Watu Watatu Wauawa Kwa Kuchomwa Moto Kwa tuhuma za Wizi Wa Pikipiki Kahama

Loading...
Maisha : Watu Watatu Wauawa Kwa Kuchomwa Moto Kwa tuhuma za Wizi Wa Pikipiki Kahama - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Maisha : Watu Watatu Wauawa Kwa Kuchomwa Moto Kwa tuhuma za Wizi Wa Pikipiki Kahama, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Maisha : Watu Watatu Wauawa Kwa Kuchomwa Moto Kwa tuhuma za Wizi Wa Pikipiki Kahama
link : Maisha : Watu Watatu Wauawa Kwa Kuchomwa Moto Kwa tuhuma za Wizi Wa Pikipiki Kahama

soma pia

Maisha : Watu Watatu Wauawa Kwa Kuchomwa Moto Kwa tuhuma za Wizi Wa Pikipiki Kahama

Wananchi waliojichukulia sheria mkononi jana wamewaua kwa kuwachoma moto watu watatu ambao majina yao bado hayajafahamika katika kijiji cha Kitwana kata ya Busoka wilayani Kahama,mkoani Shinyanga kwa tuhuma za wizi wa pikipiki.

Kwa mujibu wa mashuhuda, mauaji ya mtu wa kwanza yalifanywa majira ya saa nane usiku wa kuamkia jana baada ya kutokea wizi wa pikipiki, huku watu wengine wawili wakiuawa jana majira ya saa nne asubuhi.

Inaelezwa kuwa mtuhumiwa wa kwanza alipokamatwa aliwataja wenzake wawili waliouawa jana baada ya kuvunja nyumba ya mmoja wao na kukuta pikipiki tatu zimehifadhiwa kwenye shimo.

Afisa mtendaji wa mtaa wa Kitwana, Peter Joseph amekiri kutokea kwa tukio hilo huku akilaani vikali kitendo cha wananchi kujichulia sheria mkononi, na kuwataka kuacha tabia hiyo kwani ni kinyume cha sheria.

Miili ya marehemu hao ilichukuliwa na Jeshi la polisi wilaya ya Kahama, na kupelekwa katika chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Wilaya ya Kahama

Mkuu wa polisi wilaya ya kahama Mussa Mchenya mwenye kofia nyeusi akiwa eneo la tukio akishuhudia eneo ambalo watuhumiwa hao wamechomewa moto.

Wananchi wakiwa katika makazi ya mtuhumiwa aliyechomwa moto wakishuhudia nyumba ikiteketea.

Shimo ambalo mtuhumiwa inadaiwa alificha pikipiki tatu ndani yake.

Wananchi wakiendelea kubomoa nyumba ya mtuhumiwa

Maafisa wa polisi wakiwa wameifikisha miili ya watuhumiwa kwenye chumba cha kuhifadhia maiti katika hospitali ya wilaya ya Kahama.

Picha: Watu Watatu Wauawa Kwa Kuchomwa Moto Kwa tuhuma za Wizi Wa Pikipiki Kahama
7/05/2017 01:08:00 PM Matukio

SAMAHANI KWA PICHA

Hivyo makala Maisha : Watu Watatu Wauawa Kwa Kuchomwa Moto Kwa tuhuma za Wizi Wa Pikipiki Kahama

yaani makala yote Maisha : Watu Watatu Wauawa Kwa Kuchomwa Moto Kwa tuhuma za Wizi Wa Pikipiki Kahama Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Maisha : Watu Watatu Wauawa Kwa Kuchomwa Moto Kwa tuhuma za Wizi Wa Pikipiki Kahama mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/maisha-watu-watatu-wauawa-kwa-kuchomwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Maisha : Watu Watatu Wauawa Kwa Kuchomwa Moto Kwa tuhuma za Wizi Wa Pikipiki Kahama"

Post a Comment

Loading...