Loading...
title : MAJALIWA AHUDHURIA KATIKA MSIBA WA MAREHEMU LINAH MWAKYEMBE
link : MAJALIWA AHUDHURIA KATIKA MSIBA WA MAREHEMU LINAH MWAKYEMBE
MAJALIWA AHUDHURIA KATIKA MSIBA WA MAREHEMU LINAH MWAKYEMBE
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisaini kitabu cha maombolezo,alipo hudhuria msibani kwa aliyekua Mke wa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe, Linah Mwakyembe, aliyefariki katika Hospitali ya Agakhan leo alfajiri Julai 16, 2017.
Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa, akisaini kitabu cha maombolezo,alip hudhuria msibani kwa aliyekua Mke wa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe, Linah Mwakyembe, aliyefariki katika Hospitali ya Agakhan leo alfajiri Julai 16, 2017.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,akizungumza na Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe, alipo hudhuria msibani kwa aliyekua Mke wa Dr. Harrison Mwakyembe, Linah Mwakyembe, aliyefariki katika Hospitali ya Agakhan leo alfajiri Julai 16, 2017.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Hivyo makala MAJALIWA AHUDHURIA KATIKA MSIBA WA MAREHEMU LINAH MWAKYEMBE
yaani makala yote MAJALIWA AHUDHURIA KATIKA MSIBA WA MAREHEMU LINAH MWAKYEMBE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAJALIWA AHUDHURIA KATIKA MSIBA WA MAREHEMU LINAH MWAKYEMBE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/majaliwa-ahudhuria-katika-msiba-wa.html
0 Response to "MAJALIWA AHUDHURIA KATIKA MSIBA WA MAREHEMU LINAH MWAKYEMBE"
Post a Comment